Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,019
- 159,772
Tunawadharau sana wanawake, lakini Hawa nduo mademu zetu, wachumba zetu, wake zetu, dada zetu, shangazi zetu, mama zetu na bibi zetu.
Je wakitoweka na ulimwengu ukabaki Wanaume watupu tutakuwa wakiwa na wapweke kiasi gani?
Tusingoje wapotee,
Tuwapende na kuwaheshimu sasa
Je wakitoweka na ulimwengu ukabaki Wanaume watupu tutakuwa wakiwa na wapweke kiasi gani?
Tusingoje wapotee,
Tuwapende na kuwaheshimu sasa