Nawapenda sana wanawake wanaovaa hijab

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,781
Hello Gentleman and Ladies, Yaani huwa nikimwona mwanamke ambaye amevalia hijab huwa nawapenda sana ukute amefunika na uso ameacha hayo macho tu .ukute ana macho yale ya kurembua halafu apake na Ile make up nyeusi kwenye kope za macho yaani napendaga sana sana .Natamanigi nitoke nitoke na hao mabinti ila dini yao hairuhusu kwenda kupata yale maji ya dhahabu ,this article is true from my bottom of my heart .
 
Mimi nawapenda mpaka nawaota kila mara hasa wale waliojaaliwa neema za Allah...!!

Allah Akbar bwana sheikh...!

Cc: FaizaFoxy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom