Sitasahau

Mhdiwani

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
650
712
Habari zenu wadau wa jukwaa letu pendwa bila shaka mko poa,,
Leo nimeona nishee na nyinyi tukio hili ambalo lilinikuta miaka saba iliopita,,,
Nilisafiri kutoka Tanga mpk Arusha kwa shangazi nilipofika nikakaa siku tatu kukatokea msiba nyumbani ikabidi wao wasafiri nibaki mwenyewe nyumba mzima,,
Majirani wa shangazi walikua hawana bomba la maji kwahio walitegemea kuchota maji pale nyumbani,,
Ikabidi nitumie fursa ya kupata waschana wanapokuja kuchota maji,
Wakati nipo ndani nikaskia get I linagongwa kufika ni Dada wa nyumba ya pili ni mnene hasa,,
Nikamkaribisha akaenda bombani akaweka ndoo yake sasa hapo ndo niliona pakuanza figisu ,
Nikaenda kwenye koki kubwa nikapunguza presha ya maji yakawa yanatoka kidogo sana
Nikamfuata nikamuambia karibu ndani kwasababu kulikua na manyunyu ya baridi mpk ndoo ijae itachukua kama dakika 30
Akakubali tukakaa sebleni,,,
Kwakweli nilikaa nae karibu mno nikaanza kupiga story huku mikono yangu ikiupapasa mwili wake
Ghafla akaniuliza unataka nini? Duh nikabaki natoa macho akaniambia subiri nipeleke maji nkirudi ntakupa unachotaka,,,, hapo nikamuambia nipe tu sasahivi ,
Aliamka akataka kutoka nnje nikamzuia nikataka denda nilivyompiga denda tu nashangaa mtu ananielemea kwakua alikua mnene skuweza kumzuia alinizidi nguvu akaanguka chini akapiga kichwa mwenye sakafu Mara kimya!!!!
Nilimpepea ndani ya nusu saa lkn wapi,, Dada yake nikamskia anamuita ikabidi nifunge mlango nikatoka nnje akaniuliza vp yuko wapi huyu nikamuambia ameenda huko chini ameacha ndoo yake hapo ,, akaniuliza vp unaumwa mbona uko hivyo nikamuambia hpn nilikua nimelala,,
Alivyoondoka nikampigia simu rafiki yangu akaja alivyomuona akasema mwanangu umeua hapo ni jela tu jamaa akatoka mbio
Ghafla akazinduka nikamuuliza vp akasema niache kwanza sjataka kulaza damu nilimbuluza mpk nnje nikafunga mlango wangu nikasepa alivyopata nafuu akaenda kwao
Tangu siku hio nikawa muungwana sirukii hivyo waschana nisiowajua vizuri
 
Kweli ulipata funzo zuri.

Ulishaanza kufikiria kuchimba shimo kumzika au? Huyo rafiki yako alikimbia kwa uoga na alirudi au ilikuwa kimoja?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom