Mzee Chapuuka
Member
- Apr 21, 2017
- 97
- 243
Wasalaam wakuu
Naomba kujuzwa kama inaruhusiwa kisheria kumtongoza Askari wa kike akiwa na Uniform
Nipo hospital moja hapa nimekaa na correctional officer wa kike tena ni kigori kweli kweli natamani niombe namba Ila sijui Sheria zinasemaje manake mida hii yupo job kaleta mfungwa hapa.