umukagame
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,044
- 672
Nikiwa katika kipindi kigumu cha kuwa peke yangu na vishawishi vingi
Kuna mheshimiwa mmoja Kijana ni rafiki yangu tulikutana nje ya nchi wote tukiwa safarini mawasiliano ndiyo yakaanzia hapo.
Amekuwa ni mtu mwema kwangu kwa kipindi hiki maana mwanzo wa kufahamiana sikupenda ukaribu nae kivile ukicheki nilikuwa nimeshazama kwa the x guy ile ya sanaa.nikawa nampotezea na kumkwepa.
Siku za karibuni nikajisogeza kwake baada ya kuwa lonely sana..jamaa akafurahi shopping anasimamia sana mitoko ni kwa tahadhari ya hali ya juu tusijeonekana (Jamaa ana mchumba na mtoto juu)
Ameniahidi mambo mengi sana na anatimiza siyo muongo muongo akisema no ni no kweli.
Tatizo moja tu ni kwamba yupo busy anaweza asipige simu whole day mara nipo bungeni...nina kikao i wll call back kiukweli yupo busy sana sana pia hayupo romantic na nilivyozoeshwaga.
Ila tukionana anazima simu zake ananisikiliza na mie namsikiliza.
Anadai atanioa. Mengine niachane nayo anajua yeye mwenyewe
Ananipenda na ananiamini sana it seems siyo player. Nawaza nimpende japo teyari ndo hivyo tena.naogopa nisijemuweka moyoni nikaja kujuta tena.
Wakubwa kama una ushauri juu ya hali hii nisaidie.
Matusi hapana