mwamba c
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 690
- 2,362
Habarin wanajamvi
Leo hali ya afya yangu haikua mubashara ikabid nijisogeze zahanati ili kupata tiba,nikiwa ktk harakati za kuhudumiwa ndio nkakutana na kihoja cha dada mjamzito ali akilalamika sana na manesi walikua wakimjibu kwa nyodo na majidai.Kwakua wanawake ni mama zetu,dada zetu na ni wake zetu pia nikatamani nimhoji mjamzito huyu kulikon ili kama kuna lakumsaidia hata kimawazo nimsaidie.Dada alinieleza kwamba alifika hapo zahanati siku ya ijumaa ili apimwe baadhi ya vipimo na kuandikiwa kad ya klinik ila akaambiwa siku ya ijumaa huwa hakuna shughuli hyo hvyo akatakiwa afike j4 ambayo ni leo na kwa msisitizo aliambiwa aje na mume wake.Dada anasema mume wake hakuwepo huwa anafanya kaz mkoani moshi na haishi nae hapa Mwanza hvyo ilimlazim kumtaarifu mume wake na mume akaomba ruhusa ofisini na akafunga safar kutoka moshi had mwanza ili wapimwe wote na kupewa ushaur mubashara ktk kuilea mimba.Sasa tatizo limeibuka leo hii akiwa na mume alieacha kaz zake na kutii wito wa manes,manesi wanasema hawawez kumpima kwasababu hakuna vipimo vya kupimia ukimwi,na wapo bize wanaandika ripot,pia wanasema hakuna kadi za kuandikisha wajawazito.Nilijarb kusema na manes ili mjamzto huyu asaidike lkn waligoma,mume akakomaa kwamba ana likizo ya siku tatu tu na kesho anatakiwa arud kazn lkn manes wakagoma pia...mwishowe dada huyu mjamzto na mumewe wakaondoka wakiwa wamekasirika na nkawa nimewashaur waende private hospitals kwa huduma za haraka na utii zaid.....Cha kushangaza sasa nkiwa hapohapo walikuja wajawazito wengne na wakapimwa na kupewa kad za kliniki,nlistaajabu na kuwaona manesi wale kama wendawazim....Ndugu kama ww ni mtumishi katika idara yeyote ile,tafadhali fanya kaz kwa weledi na toa haki sawa na huduma sahihi kwa kila mtu,tusiwaumize baadhi ya wateja kwasababu zetu binafsi,au chuki.Kila mtu ana nafas yake pengne dada yule mjamzito kambeba mwanaume atakayekuja kumuoa binti yako ww nes au kambeba daktar atakayekuja kutibu maradhi yako ya uzeeni au hata kambeba mwanajesh atakaekuja kuilinda amani ya taifa hili...
Nawasilisha