Wakuu nauliza umeshawahi kutoswa wewe Mwanaume au Mwanamke?
Sio kukataliwa ile ya kistaarabu kwamba umechelewa au sitaki mahusiano.
Kukataliwa kwa matusi, maneno machafu mpaka ukifika kwako...
JE KWANINI KUWA NA MPENZI ZAIDI YA MMOJA AU ZINAA IMEKATAZWA?SOMA HADI MWISHO KUJUA SABABU *KISAYANSI* Ndani ya manii mna kitu gani kitaalamu. Ndani ya manii mna vitu vikuu vinne:
• PROTEIN, •...
Kweli nimeamini mke wa mtu sumu baada ya kunusulika kifo jana. Basi ilikua mchana kama saa 7:30 nikasikia sim yangu inaita kucheki jina alikua mama james wa mtogani
kiukweli huyu mama alitokea...
Salaam wakuu
Humu ndani baadhi ya wana Jf tumeweka signature zenye kubeba maana flan au kumbukumbu za matukio halisi katika maisha ya kila mmoja. hebu Leo tushare kile kilichopo nyuma ya pazia...
Mwanamke aliyekamilika anatongozwa muda wote katika maisha yake kwa mitindo tofauti tofauti. Atakarimiwa vizuri, atasalimiwa mara kwa mara, atapewa lift, atasaidiwa kupata kazi, atapewa mialiko...
Nipo na mwanamke karibia mwaka sasa lakini nimegundua mwanamke nilienae ni muongo balaa sijapata kuona anajifanya ana dili kubwakubwa lakini kwa ujuzi wangu wa kuelewa mambo nagundua ni msanii...
Wakuu,
Kusema ukweli mimi kondom nazichukia sana, hivi hakuna mbadala wa Condom?
Kufanya ngono nikiwa nimevaa kondom hua nafanya kwa kufanyaje tu ila hua sifurahii kabisa kitu kinaitwa condom...
Ivi si ushawahi kuwa na wale marafiki flan ivi amaizing and more than amaizing anaweza akawa wakike au kiume but amaizing kwako, yaani ni mpango mzima kama ni mdada atakuwa kisu balaa kama ni kaka...
Habari,
Huwezi amini nilichokikuta jana kwenye nyumba moja nzee niliyonunua.
Historia fupi; Ni kwamba hii nyumba ilikuwa ya miaka ile ya 1950. Aliyekuwa na nyumba alishafariki siku nyingi ila...
Katika maisha huwa tunakutana na watu mbalimbali, hawa watu kutokana na michango yao ndo wanakuwa wametuwezesha kufika hapa tulipo.
Michango yao inaweza ikawa positive au negative, lakini through...
Amani ya bwana iwe nanyi!
In this life you can just be one thing, YOU. I keep learning that everyday.
Mimi sio fan wa watu wazimaaa. Never had been, never will be. For me watu wazima are too...
NAONGEA NA WEWE APO...
Wewe ambaye miaka MITANO ya UCHUMBA,
ushamfunuafunua MTOTO wa watu kama SUFULIA la PILAU msibani!
Unamjua MWILI wake kama unavyojua mabeti ya wimbo wa Taifa ile MUNGU...
Habari za jioni wanaJF,
Kaka yangu kaamua kumfuata bosi wake na kumueleza kuwa watoto wake wa kiume wamewapachika mimba mabinti zake. Bosi kamwambia atalifuatilia na akaamua kuwaita wanae na...
Hali ya Jiji la Dar es Salaam kwa wiki sasa limekumbwa na baridi kupita kiasi kitu kinachofanya uhusiano wa wapenzi wa ndoa hata ambao hawajafunga ndoa uimarika mara saba kuliko ulivyokuwa mwanzo...
Wanasayansi wa Chuo Kikuu kimoja huko jijini California nchini Marekani wamesema kwamba kutokana na Wapenzi wengi siku hizi kuishiwa hamu ya kufanya sana Mapenzi ( kungonoka / kubanduana /...
Habari wana jf mm nikijana nahitaji kuoa nimepata mbinti mkimbizi kutoka nchi jirani wazaziwake walikimbilia tz tangu1995 amezaliwa haphap tz
Swalilanngu ni je?? Nikimuoa maafisa uhamiaji...
Salaam wakuu,
Mada tajwa ya husika,
Jamani nina msichana nipo nae muda mrefu tu ila ni kwamba hataki nipajue kwao
siijui tatizo ni nini, je kuna kitu anaficha hapo kwao au inakuaje hadi mwanamke...
Mke wa kaka yangu (jina kapuni) ananitaka nimtimizie haja zake kimapenzi. Maana anadai bro ameendekeza ulevi sana hata hana hamu nae.
Kwa kweli nimeona shemeji ana hoja ya msingi maana hataki...