Mke wa kaka (shemeji) ananitaka kimapenzi

Mke wa kaka (shemeji) ananitaka kimapenzi

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,223
Reaction score
39,702
Mke wa kaka yangu (jina kapuni) ananitaka nimtimizie haja zake kimapenzi. Maana anadai bro ameendekeza ulevi sana hata hana hamu nae.

Kwa kweli nimeona shemeji ana hoja ya msingi maana hataki kutoka nje ya ukoo ili tusipoteze kizazi. Hata ikitokea broo amekufa mimi ndio nitamrithi shemeji kama mumewe.

Nakuahidi shemeji nitakupa mambo adimu na style kibao za maana ikiwemo BRN.
 
tafuna shemeji usihofu huu ndo wakati wake (wakati wa baridi) ila wakati mnakutana na kaka yako jidai unamponda shemeji kuwa umewahi kuwafumania na lijamaaa huko mtaani ili utengeneze mazingira ya kupewa kazi ya uchunguzi.
 
Bora kumla ww kuliko kuliwa na watu baki. Komaa ucpoteze muda lakn kumbuka mke wa mtu ni sumu japo huwezi tegea panya.
 
kwa kweli nimeamua kwa dhati kumtafuna shem bila kulazimishwa na yeyote. nampenda na ananipenda. broo hawez gundua maana yeye mtu wa kusafiri sana (dereva wa malori) na akirudi yeye ni pombe mtu home anakuja kulala tu hana stori
 
Back
Top Bottom