mwanza home
Member
- Jan 20, 2017
- 14
- 18
JE KWANINI KUWA NA MPENZI ZAIDI YA MMOJA AU ZINAA IMEKATAZWA?SOMA HADI MWISHO KUJUA SABABU *KISAYANSI* Ndani ya manii mna kitu gani kitaalamu. Ndani ya manii mna vitu vikuu vinne:
• PROTEIN, • ACID, • SPERM au CHROMOSOME, • VIRUS.
PROTEIN: Ni aina mojawapo ya “Food Substance” inayorutubisha mwili. Substance hii inapatikana ndani ya manii na pia watu wa mambo ya reproduction system (mfumo wa uzazi) wanakubali kwamba manii yanatokana na aina hii ya chakula na ndiyo maana kama una njaa shughuli ya Jimai inashindikana, au kama utajilazimisha utapata madhara.
ACID: Ni mfano wa tindikali, yaani kitu chenye ladha ya ukali mfano ndimu. Na kitu chenye tindikali kina kawaida ya kuunguza na pia kulegeza kwa itakayompata au kumuingia, ndiyo sababu kitaalam ukimlinganisha mwanamke aliyeolewa na asiyeolewa kisha akawa hafanyi zinaa maumbile yao yanatofautiana. Yule aliyeolewa mwili wake unakuwa laini zaidi sababu ya acid inayopatikana ndani ya manii. Nitakupa mifano mingi iliyo hai ili akili yako ikubali kwamba vyote vinavyotajwa vinapatikana ndani ya manii. Ukitaka kuthibitisha zaidi acid ya katika manii ambayo inaunguza nakulegeza hata ukiwa na kidonda kibichi ukitia manii kitauma mara mbili zaidi sababu ya acid. Mfano mwingine tazama kwa wale watoto wa kiume ambao wanaingiliwa kinyume na maumbile (mashoga) hata kama zamani alikuwa strong (imara) kiasi gani akiingiliwa tu, basi analegea kuanzia kutembea, kuzungumza na kila kitu sababu ni Acid inayopatikana ndani ya manii. Pia ndio maana inakatazwa kumuingilia mwanamke anayenyonyesha sababu ukimuingilia ukamuingizia manii ambayo yana acid, acid ile itapanda katika maziwa na kuyaharibu maziwa na hapo mtoto akinyonya atanyonya maziwa yenye acid. Itasababisha mtoto kulegea au kwa watu wa pwani wanaita kubemendwa, hivyo mtakua mmemharibu mtoto. Lakini kama atakula acid ya baba yake hatadhurika sana, sababu atakula acid ambayo kwa asili ndiyo iliyomtengeneza. Ila mke akiziniwa na mtu mwingine mtoto ataathirika sana na pengine itakuwa ni sababu ya kifo chake kwa kuwa amekula acid ambayo si ya asili kutoka kwa wazazi wake hivyo itakuwa ni POISON (sumu) kwake. Kazi kubwa ya acid kwenye manii ni kuua bacteria zisizohusika zinazopatikana wakati zikitoka kuelekea katika virginal wall.
SPERM: Ni mbegu za kiume zinazopatikana ndani ya manii na hizi mbegu haziishi ndani ya mwili kwa sababu ya hali ya joto la mwili, kwani mtu wa kawaida ambaye haumwi anakuwa na nyuzi joto 37 hivyo mbegu zitakufa kutokana na joto la ziada. Wataalamu wa mambo ya reproduction na gynecology wanatueleza kwamba mshindo mmoja una wastani wa watoto milioni 200 hadi 300. Lakini yanayofanikiwa kulifikia yai ni mia moja tu. Na yanayofanikiwa kuingia kwa kawaida ni moja au mawili yakizidi sana manne tu, na si zaidi ya hapo, lau kama yakizidi basi ni kwa miujiza yake Mwenyezi Mungu.
VIRUS: Hivi ni vijidudu ambavyo kila mtu anavyo vya kwake na pia haviingiliani baina ya mtu na mtu m na hapa ndipo tutaeleza kwa kina madhara ya zinaa kisayansi. Lazima pia tujue kuwa Virus wanafanya kazi gani na pia wanakwenda wapi. Katika virginal wall kuna vijistomata (vitundu) maalum kwa ajili ya kupokea virus; sababu mwanaume anapotoa manii yake yenye protein,acid sperm/chromosomes na virus kila kimoja huchukua nafasi yake kwenda kunapohusika.
Nafasi ya virus ni kuingia katika vitundu vilivyo katika virginal m wall ili vipate kuish humo kwa kuwa ndipo alipowapangia Mwenyezi Mungu. Hivyo basi ukiwa unamuingilia mkeo na ukitoa manii basi moja kwa moja virus wako watakwenda kuingia katika vijitundu vilivyo kwenye varginal wall ili kuishi humo. Ina maana virus watakaoingia kuishi kwa mkeo ni wale ambao wamezoeana. Sasa ikija kutokea mkeo akazini na mwanaume mwingine ataingiziwa virus wasiokuwa wako.
Hivyo hawa wapya wakiingia nao pia watataka kuingia katika yale matundu ili nao wakaishi. Kwa kuwa ndivyo alivyowapangia Mwenyezi Mungu, hawa wapya wakiingia tu wale wa zamani ambao ni wa mume, watawashangaa, watajiuliza hawa nao wametokea wapi? Mbona si katika wale tuliozoeana? Kwa kushangaa huku wale virus wenyeji watawashambulia virus wageni kama antibody bacteria (kitu kinachotoka nje ya mwili). Na katika mapigano haya watapelekea kundi moja kufa na kundi moja likifa lazima wale waliokufa watoke, watatoka vipi? Au watatokea wapi? Jibu ni pale pale walipoingilia.
Hapo sasa ndipo mtu anapoanza kutokwa uchafu. Na pia virus wapya waliosalimika wakiona wanazidi kushambuliwa na virus wa zamani itabidi watoboe sehemu nyingine zisizohusika ili wakimbie na kujificha katika nyama laini. Hapo ndipo mtu anapoanza kupata maumivu makali wakati wa kukojoa na pia ndio chanzo cha magonjwa mbalimbali ya zinaa, na wakati huo mume akimuingilia mkewe naye pia atapata ugonjwa wa zinaa sababu atakutana na virus wageni waliojificha kujihami katika sehemu laini zisizohusika watamuingia mume kupitia mrija wa urinary truck (mrija wa mkojo).
Ndio sababu Mwenyezi Mungu akasema zinaa ni uchafu. Na uchafu unaokusudiwa ni kuchanganya mifumo tofauti ya mwili yaani mwanamke kuingiliwa na mwanaume zaidi ya mumewe pekee. Na hapa ndipo tunapoona hekima ya Mwenyezi Mungu kwa mfano kwa baadhi ya dini kwamba kwa nini ameamrisha mwanamke kuolewa na mwanaume mmoja na mwanaume kuoa mwanamke zaidi ya mmoja, Hii ni kwa sababu mwanamke anapokea manii yenye kubeba VIRUS wa asili kutoka kwa mumewe. Ila ieleweke kuwa mwanaume atakiwa awe muaminifu kwa wake zake, akitoka nje ya ndoa zake atawaletea magonjwa wakeze. Hapa ndipo inapopatikana hekima ya mwanamke aliyefiwa na mumewe au aleyeachwa kwa talaka lazima akae eda.
Eda si tu kuangalia kama mwanamke ana mimba, bali pia katika kipindi cha miezi mine na siku kumi ambacho mwanamke anakaa eda kwa kuwa katika kipindi hicho haingiliwi ina maana wale virus watakosa protein inayopatikana katika manii ambayo ndio chakula chao, hivyo kwa kukosa chakula watakufa. Kwa hiyo katika kipindi hicho mwanamke anaandaliwa ili kama ataolewa tena na mume mwingine huyu mume mpya ajitengenezee mifumo yake mipya ambayo haitapingana na ile ya mwanzo.
Hivyo Mwenyezi Mungu alipokataza ZINAA anajua kwa kina madhara yake. Njia bora ya kupambana na magonjwa mbalimbali km UKIMWI ni kuacha Zinaa.
*ukipata muda share hiyo nii mafundisho mazur sana*