Mzee Chapuuka
Member
- Apr 21, 2017
- 97
- 243
Salaam wakuu,
Mada tajwa ya husika,
Jamani nina msichana nipo nae muda mrefu tu ila ni kwamba hataki nipajue kwao
siijui tatizo ni nini, je kuna kitu anaficha hapo kwao au inakuaje hadi mwanamke akatae kumwonyesha mpenzi wake mahali anakoishi.
Imekaaje kaaje hii wakuu?