Wale tusiopenda matumizi ya condoms tupeane uzoefu, mimi sipendi kutumia condom

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
6,002
19,449
Wakuu,

Kusema ukweli mimi kondom nazichukia sana, hivi hakuna mbadala wa Condom?

Kufanya ngono nikiwa nimevaa kondom hua nafanya kwa kufanyaje tu ila hua sifurahii kabisa kitu kinaitwa condom. Bahati nzuri karibu wanawake wote naokutana nao hua pia hawapendi kondom. Ni wasichana wachache sana ambao nakumbuka walinilazimisha kuvaa kondom wengi ni hiyari yangu kutumia au kutotumia.

Kwanza nikivaa condom nachelewa sana kupizi, pia condom hua nasikia tu kama zinaniumiza tu, zinanibana, kuanzia raundi ya pili ndio hua kabisa zinaniboa nachukua muda mrefu,zinapasuka najikuta nimebadili karibu tatu au zaidi maana hakuna kondom inaweza kuvumilia msuguano wa zaidi ya nusu saa, hua zinaniharibia mudi kabisa.

Hebu wale tusiopemda kutumia condom tupeane uzoefu humu. Mimi kwa kweli kutumia condom hua sio kipaumbele changu,naitumia basi tu pale napolazimika.
 
Kwa ushauri tuu tafuta mmoja muaminifu(ikiwezekana mpime ukimwi kwanza) na wewe uwe muaminifu pia, kisha muendelee na zoezi la kavu. Mtaenjoy zaidi na kila mmoja atakua na amani na mwenzake. Ila kama huwezi kutulia na mmoja na hutaki hata kuskia kondomu sijajua hasa una mpango gani na maisha yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom