Mzee Chapuuka
Member
- Apr 21, 2017
- 97
- 243
Wakuu,
Nafikiri mliona uzi wangu mida flani uliosema;
https://www.jamiiforums.com/threads/ushauri-mwanamke-hataki-nipajue-kwao.1245762/
Ushauri: Mwanamke hataki nipajue kwao
Hapa uliokua unazungumzia kuhusu mpenzi wangu kugoma kunionesha kwao. Sasa baada ya kugoma nipajue kwao kuna kitu aliniagiza ila akataka nimkabidhi mbali na kwao yani uchochoroni nikajiuliza huyu binti why hataki nipajue kwao wakati aliniambia anakaa na dada yake tena wako free sana.
Nilichofanya ni kupanda gari huku nimebeba kile aliichoniagiza direct hadi kitaa cha kwao nikaulizia nikaoneshwa kwao lahaula ni uswazi sana japo anakaa nyumba ya shirika la reli nchini ila maisha ambayo alikua ananisimulia kuhusu kwao ni tofauti na hali niliyoikuta nimemwonea huruma sana mimi mwenyewe ni baga tu lakini siwezi kudanganya maisha yangu mbele ya watu.
Wadada hasa nyie wa uswazi acheni kuigiza maisha mtakuja kuhaibika na kukosa Waume wa kuwaoa kutokana na tabia zenu za kuigiza maisha. Hii ni tabia iliyokomaa kwa mabinti na wadada wa uswazi wasioridhika na maisha yao msichana wangu miezi nenda rudi anakwepa kunionesha kwao hata kwa mbali kumbe anajua akinifanyia fake life.
Acheni hizi tabia wadada