Kuoa nimakosa?

kindume

Senior Member
Feb 25, 2017
110
54
Habari wana jf mm nikijana nahitaji kuoa nimepata mbinti mkimbizi kutoka nchi jirani wazaziwake walikimbilia tz tangu1995 amezaliwa haphap tz

Swalilanngu ni je?? Nikimuoa maafisa uhamiaji hawata nimaind kweli??;);) Make nasikia sikia kua et katiba inamtambua mtoto alie zaliwa tz kama mtz hatakama wazaziwake niwakimbizi.

Naomba wajuzi mnifafanulie sheria
 
Mmh,, banyamulenge au? Uhamiaji lazima wakuletee noma maana hao ni majasusi waliotumwa kutupeleleza

Ila usihofu muda siyo mrefu kama huna kazi utakuwa na kazi ya kusaidia polisi.
 
:eek::eek::eek::eek::eek::eek::eek::eek:Mbona moyo unanienda mbio sasa
 
Habari wana jf mm nikijana nahitaji kuoa nimepata mbinti mkimbizi kutoka nchi jirani wazaziwake walikimbilia tz tangu1995 amezaliwa haphap tz

Swalilanngu ni je?? Nikimuoa maafisa uhamiaji hawata nimaind kweli??;);) Make nasikia sikia kua et katiba inamtambua mtoto alie zaliwa tz kama mtz hatakama wazaziwake niwakimbizi.

Naomba wajuzi mnifafanulie sheria

Wewe oa tu huyo Mkimbizi wako ili Uhamiaji nao ' wakukimbize ' tatizo liko wapi Mkuu?
 
jamani mbona mnaniogofya sana nifafanulieni hats kasheria kidogo make bunt mzuri kweri sijawahi on a tz nahisi kumkosa in kufeli sana kwangu
 
Muoe kwanza huyo Mkimbizi Mkuu kisha Uhamiaji watakuwa wanakuja kukufundisha Sheria ' Sebuleni ' nyumbani Kwako.
 
Wewe oa tu usiogope kitu ila nashauri ufuate hatua zifuatazo:
1. Usiishi naye bila ndoa utaepuka tuhuma za kuishi na mwanamke asiyeishi nchini kihalali
2. Funga ndoa serikalini sio kanisani. Maana yangu ni kwamba ukianzisha mchakato wa ndoa kwa mkuu wa Wilaya mtakapojaza fomu na bibi harusi mtarajiwa kujaza taarifa zake kwa usahihi ikiwa ni pamoja na kabila lake na utaifa wake hapo ndipo mapungufu yatakapojitokeza.
Huenda mchakato wa ndoa ukasitishwa ikiwa kuna walakini na wewe utakuwa salama salimini.
Kama wazazi wake waliingia kihalali na wanaishi kihalali nchini hakuna shida kuoa mtoto wao hata kama asingezaliwa nchini. Na kama kazaliwa hapa mchini lazima awe na uthibitisho wa cheti cha kuzaliwa. Lakini kuzaliwa sio uraia huenda ukalazimika kupitia hatua za kuomba uraia nchimi kabla ya ndoa au baada inategemea sheria zeru zikoje.
Nimejaribu kukuelekeza namna ya kukutoa wewe hatiani.
 
asante mkuu
 
Back
Top Bottom