Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,280
- 16,556
Ivi si ushawahi kuwa na wale marafiki flan ivi amaizing and more than amaizing anaweza akawa wakike au kiume but amaizing kwako, yaani ni mpango mzima kama ni mdada atakuwa kisu balaa kama ni kaka ni handsome, gentlemen and everything in between, and u know! oh you know! deep down inside hamuwezi kuwa wapenzi bora mbakie washkaji tu, yani bora tu muendelee kuwa friends without benefits but friends, lakini unamtamani balaa, yani unatamani awe boy au girl wako!
Me nishawahi kuwa na marafiki kama hao nilitamani tuwe wapenz wa kudumu afu wote wakaoa wake wengine, iyo ilikuwa zamani lkn, sa hivi nikiangalia nyuma nasema asante Mungu, hatukupigana miti au kuwa wapenz... huenda mngeharibu mbovu, maana jinsi mnavyoheshmiana na kuthaminiana sasa hivi, hakuna mfano wake
Je hili lishawahi kukutokea?
Tupe experience yako kidogo basi au bado una regret kumkosa huyo rafiki mkali?
NAWATAKIA IJUMAA KUU NJEMA WAPENDWA!