Nimegundua kwanini sehemu yenye baridi kuna UKIMWI na wadada hupata sana mimba

Bernard bakari

JF-Expert Member
Mar 30, 2016
407
781
Hali ya Jiji la Dar es Salaam kwa wiki sasa limekumbwa na baridi kupita kiasi kitu kinachofanya uhusiano wa wapenzi wa ndoa hata ambao hawajafunga ndoa uimarika mara saba kuliko ulivyokuwa mwanzo. Najaribu kufikiri hali hii ya baridi kwa wale waliopo single yaani hawajaoa au kuolewa inakuwaje na baridi hii?

Lakini niliwahi kusikia kuwa kipindi hiki cha baridi wale dada poa biashara yao inakuwa juu sana, bei zinapanda na wanaringa hii kutokana na nature kuwa hali hii ya baridi binadamu tunapenda kuwa wawili wawili.

Nikivuta picha hii ya Dsm sasa nikirejea kwenye mikoa au sehemu yenye baridi kama hii mda wote kweli nihalali yao dada zetu huko kupata ujauzito wa mara kwa mara. Pia si ajabu maambukizi ya UKIMWI kuwa juu maana kwa baridi hili huwezi kimbizana na kinga. Ile kutoka ndani kwenda dukani kununua kinga ni mtihani sana.

Baridi kwa wenye ndoa huleta upendo, neema, baraka na raha tele kwa tele lakini kwa walio single ni kiyama, kero kilio na kusaga meno.
 
Hali ya Jiji la Dar es Salaam kwa wiki sasa limekumbwa na Baridi kupita kiasi kitu kinachofanya uhusiano wa wapenzi wa ndoa hata ambao hawajafunga ndoa uimarika mara saba kuliko ulivyokuwa mwanzo. Najaribu kufikiri hali hii ya baridi kwa wale waliopo single yaan hawajaoa au kuolewa inakuwaje na baridi hii??

Lakini niliwahi kusikia kuwa kipindi hiki cha Baridi wale dada poa biashara yao inakuwa juu sana, bei zinapanda na wanaringa hii kutokana na nature kuwa hali hii ya baridi binadamu tunapenda kuwa wawili wawili.

Nikivuta picha hii ya Dsm sasa nikirejea kwenye mikoa au sehemu yenye baridi kama hii mda wote kweli nihalali yao dada zetu huko kupata ujauzito wa mara kwa mara. Pia si ajabu maambukizi ya ukimwi kuaa juu maana kwa baridi hili huwezi kimbizana na kinga. Ile kutoka ndani kwenda Dukani kununua kinga ni mtihani sana.

Baridi kwa wenye ndoa huleta Upendo, neema, Baraka na Raha tele kwa tele lakini kwa walio single ni kiyama, kero kilio na kusaga meno.
Africa kuna joto kuliko Europe, na Africa ndio inaongoza kwa Ukimwi! Btw hii 23/24c unaita baridi?
 
Back
Top Bottom