chiumbimnungu
Senior Member
- Mar 25, 2017
- 151
- 217
Nipo na mwanamke karibia mwaka sasa lakini nimegundua mwanamke nilienae ni muongo balaa sijapata kuona anajifanya ana dili kubwakubwa lakini kwa ujuzi wangu wa kuelewa mambo nagundua ni msanii sana kila siku anasema nina gari za mizigo lakini huzioni atakwambia nina nyumba lakini siku zote yupo chumba kimoja.
Yaani story zake ni kama mwanamke mwenye uwezo sanaa na hana hofu na hilo akiwa anasema lakini ukweli ni muongo sanaa kuna kipindi aliniambia ana maduka ya hardware lakini ukimwambia hata siku moja twende dukani atakuzungusha mpaka uchoke.
Sometime ananipa mazawadi kama nguo viatu ila najiuliza anapataje pesa na ofisi sizioni au tunammega wengi maana kila mtu anaishi kwake.