Mwanamke aliyekamilika anatongozwa muda wote katika maisha yake kwa mitindo tofauti tofauti. Atakarimiwa vizuri, atasalimiwa mara kwa mara, atapewa lift, atasaidiwa kupata kazi, atapewa mialiko mingi ya lunch, atapata huduma hata kwa upendeleo katika maofisi mbalimbali, n.k.
Kwahiyo inakuwa ngumu sana kuwakwepa wanaume wote hawa wanaoonesha nia ya kutaka tunda. Maana kwa wingi wao huo kuna baadhi ambao watagusha mishipa ya hisia za malavidavi ya mwanandada na kumfanya akose usingizi kwa siku kadhaa.
Sasa hata kama ameolewa, kwa kuwa taasisi ya ndoa imejaa karaha za misuguano (ndiyo maana wahenga wakasema ndoa inahitaji uvumilivu), kuna muda mwanadada atahitaji kupata pumziko toka kwa huyo sumaku aliyewahi kumpa lunch. Atachepuka.
Dada aliyekamilika pia hawezi kuvumilia mapungufu ya mwanaume kitandani, huku kukiwa na lundo la wakware wanaoweza kumpa ladha mpya. Dada atatoa tunda na atakuwa kabadili ladha na amepata raha. Atachepuka.
Wale wenzangu na mimi wenye sura wasiwasi na shape za kulazimisha, bila kusahau rangi za mikorogo. Hawa wakiombwa namba ya simu tu, J2 inayofuata hutoa sadaka ya shukurani wakiamini kuwa mkware huyu kaletwa na Mungu.
Kumbe mhuni anataka kukata kiu tu wakati akisubiria mdada aliyekamilika aingie laini. Wadada kama hawa wakiolewa hawathubutu kuchepuka. Maana hata kuolewa kwao ni kwasababu wamepachikwa mimba kwahiyo bahati mbaya. Masingo maza wengi wamepatikana kwa mtindo huu. Jamaa alikuwa anapumzika kwa muda mara mimba, jamaa linagoma kuoa.
My take: Ewe mwanaume kama mkeo hajawahi kuchepuka mchunguze kwa vigezo vya uzuri. Anavyo? Naamimini hana. Kama anavyo na hachepuki na haumwi ugonjwa wowote basi ni kwamba hujamshitukia tu.
Tchao!