Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,797
- 6,795
Habari,
Huwezi amini nilichokikuta jana kwenye nyumba moja nzee niliyonunua.
Historia fupi; Ni kwamba hii nyumba ilikuwa ya miaka ile ya 1950. Aliyekuwa na nyumba alishafariki siku nyingi ila alimwachia ile nyumba mke wake na watoto watatu ambao wote walishaolewa miaka ya 90.
Mama aliyeachiwa nyumba aliamua kuiza kwa makubaliano maalumu maana mke aliolewa tena sasa baada ya kuipata hiyo nyumba nilianza kuibomoa, nilipofika kwenye chumba kimoja nikakuta na kitu. Hapo sakafuni baada ya kubomoa nilikutana na fedha nyingi zile za zamani nimeshindwa kuweka picha fedha hizi zinajaa kwenye tranka maana ni noti nyingi sana.
Kwanini zisingekuwa wakati huu wa Magufuli ningeaga umasikini, sasa najiuliza kwa nini yule baba aliamua kuzificha, kuna chumba kingine kina microscope na vitu vingine sivielewi najiuliza kwanini wanaume tunapenda kuficha baadhi ya mali zetu?
Mimi bado sijaoa ila hapa naona kuna kitu embu tuelewesheni baba zetu wa MMU