GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Wanasayansi wa Chuo Kikuu kimoja huko jijini California nchini Marekani wamesema kwamba kutokana na Wapenzi wengi siku hizi kuishiwa hamu ya kufanya sana Mapenzi ( kungonoka / kubanduana / kutinduana / kukanyagana ) kunakotokana na ' ubize ' wa Kimajukumu ambao hupelekea wengi wao kuchoka basi wakiwa tu na tabia ya kupenda ' kunusanusa ' ama Chupi ( Nguo za Ndani / Makufuli ) au Boksa basi wataweza ' kuzibusti ' kwa haraka mno ' Libido / Nyege ' zao na hatimaye wote kujikuta wakifanya hilo tendo bila kuchoka na kulifurahia pia.
Mjumbe hauwawi na nimeileta Kwenu kama nilivyoichungulia ' mahala ' na nawauliza Wakuu wangu je hili jambo kwa ' Kibongobongo ' na tunavyojuana wenyewe na tabia zetu hasa za ' Usafi ' wa ' Miili ' yetu na hivyo ' Vitendea ' Kazi vya ' kutukuka ' je litawezekana kweli?
Nawasilisha.