Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,403
Wakuu nauliza umeshawahi kutoswa wewe Mwanaume au Mwanamke?
Sio kukataliwa ile ya kistaarabu kwamba umechelewa au sitaki mahusiano.
Kukataliwa kwa matusi, maneno machafu mpaka ukifika kwako unavua nguo zote unajiangalia kwenye kioo ni wapi pana shida?
Kuna watu wana maneno machafu sana huku duniani kama hujawahi kutoswa kwa dhihaka, dharau na kunyanyaswa tafuta wa kukupa hii dawa utapiga hatua kubwa ya kutatazama mahusiano kwa namna ya pekee sana.