lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,160
Amani ya bwana iwe nanyi!
In this life you can just be one thing, YOU. I keep learning that everyday.
Mimi sio fan wa watu wazimaaa. Never had been, never will be. For me watu wazima are too smart for me, too matured, too calm, and have given up on life a longtime ago. Ukitoka na mtu mzima kila siku iko predicted like 100% mtafanya kitu kile kile, kwa wakati ule ule, kwa mtiririko ule. What a boring life.
I am not a fun of younger boys pia, cause wanakaza sanaa kama spaner afu wadau wa FREE P hatariiiii, acha kiss and telling, unaweza kuta detail za papa lako zimeanikwa kila sehemu. Too imature for me.
Sasa kuna mdau kaamua tu she justs want to play for the other team, team wazee. Why? Vijana mambo mengi sanaa, unachopata hakuna zaidi ya stress na magonjwa. Akaona kama vijana kashawala tani yake, its about time to exit the market, afanye maisha mengine. Akaniambia na i was curious. Udadisi tu ukanishikaaa, na hamu ya kujua about this other team, not forgetting the money involved in this team is Huge. Akaniambia nimefikiria nikaonane na flani aniunge kwa babusss nipumzikeee, nishazalishwa, nilichopata hakunaa, its about time i join her league.
Mmmmmmmmhhhh! Huyo flani yuko vizuri hatariiii, kaolewa na general sijui brigedia sijui boss gani wa jeshi huko keshastaafu mumewe, afu yeye nikimkadiria sanaa early 30s. Nikawaza if there is really a pot of gold at the end of the rainbaw najikosesha bahati, na kujiweka nyuma nyumaaa. Hataaaaa, hapana, siwezi kupishana na gari la mshahara kiboya. Nikamwambia we go together, mwenyewe nimechoka. Akashtukaaa. We si uko punda. Punda huyo vepeee, nilizaliwa nae? In this world i walk alone. Ya punda niachie mie mzigo, we twende. Punda bongo.
Kufika kule bibie mke wa mjedaa kabanaaa. Ooooh kwanza Lara sikuamini umekuja huku kupeleleza ukasimulie how life is not so greener on the other side. Hahaaaa. Mara ukaandike Jf, sitaki bwana. Hahahaa. Nikamtulia, cut me some slack, a sister is trying to survive, i am hustling, getting rich or die trying. Maisha yashanipenya na kunila kiboga bila KY wala mate. Niko tayari kwa lolote. Hahahahaa. Anaendelea kukazaaa. Nikamwambia dont make me beg, cause i will. We tusaidie shoga etu, tutaadhirika. Tunamkumbusha we mbona tulikusaidia ishu zako kibaooo. Akalainika.
Akaanza oooh lutembea na mtu aliewazidi umri sio mchezooo. Mmmmmmh! Tukaangaliana kimya. Mzee anatishaaa, mwili ushachokaaa. Hahahaaa. Akatuangalia kama tushakata tamaa. Tukamwambia bwana weeee baba zetu wenyewe wamewazidi mama zenu dacade kadhaa. Lets go to the business part, tutanufaikaje? How does it work on the numbers, tuingie kwenye mirathi huko. Haina kulemba.
Akatudaka, hapo ndo mnapofeliiiii, ku win trust ya mzee ni kazi kubwa kuliko ku win ya kijana. Cause anajua you are in for the money of which is true. Ukifanya blander moja tu, anakukula na hupati chochote. Tobaaa. Nyani mzee amekwepa mishale mingi, over 40 years of experience sio mzaha. Kumzidi akili inabidi utumie akili sanaaa. Kwanza its more of love than sex, nguvu hana so mda mwingi inabidi uoneshe affection, akikusimulia ujana wake uwe interested with the 1960s and 50s inabidi na wewe uzeeke, uangalie movies za 1940s to 70s ili muwe na conversation topic, umpe assurance you will be there akiumwa, and you will love him etc. Ukimkirimia pesa utapata nyingi tuuuu. Plus your sex life is officially over.
Duuuuuuhhhhhh! Nikachoka kwanza. Shoga akajibu mi niko tayari, nishaangalia water front, letters from hirojima, kingkong, gone with the wind. Hahaaaa. Mi nikasema ngoja shoga atangulie kwanza, mi bado najipanga. Akasema nilijua huna jeuri hiii hunaaa nyama wewe. Kulala na mtua liemzidi baba ako umriau sawa mchezooo. Hahahaa. Nikajitetea sijashindwa ila najipanga kwanza kuna mambo yangu inabidi ni solve.
Ukapita kama mwezi shoga angu kanipigia, mke wa mjeda kapiga there is one she wants me to meet, rafiki wa mumewe. Hahaha. Nikamwambia ngoja nikusindikize nipate kutoa nasaha za mwisho mwisho hata chooni. Kufika pale, mzee mwenyewe kijana kabisaaa, mzee smart, atakuwa alikuwa sharo zamani, nikajutia kukosa msimamo, ilikuwa bahati yangu. Baaas tena. Mzee ana pozi, anasimulia 1968 nilikuwa Berlin, mara kidogo 1972 nilikuwa Rio De Janiro na marehemu mke wangu, mara Cassablanca sijui alikuwa baharia huyu mzee sijui. Kila mda anamtaja mkewe, he must have been really missing her. Na kweli movie ya Gone with the wind ikaja kwenye maongezi, na mi sijaiona nikapoteza max kabisaa, ikabidi tu niage.
Nikafika home nikai download fastaa, Punda akanikuta naiangalia, anashangaa wewe movies za 1930s vipi. Mi sina mda na distractions nime consentrate serious. Akaanza nae kuangalia. Afu movie yenyewe sio sio. Mwisho nikamuuliza mfano, kwa mfanooo, katika mfanoo tu labda nikikuacha nikapata mbabu mzee ana maisha yake, wewe si utaendelea na life lako. Nauliza tu just curious. Akanikata jicho wewe umepata babu nini maana hii movie sijaelewa wewe kuitizama mchana kweupee, afu na hili swali, anyway kukujibu ni hivi NITAWAUA WOTE, WEWE NA BABU YAKO kwa mfano lakiniii, katika mfano lakini. Hahahaaaaa! Mxiuuuuuj! Its not a laughing matter.
Yule shoga angu akaja tu kunipasha babu yuko lonely, wanae wameoa, wanakaa majuu huko, hana mtu wa kumkeep company. Afu sio babu ni baba tuseme, anapiga tizi sanaa. Yuko fit. Ila ndo hivo toka mkewe atangulie hajapata company, anasema akipata mwanamke usiku huo huo anamuomba pesa. Hahaahaa. Yale yale. Walianza friends, yeye ndo akawa anamtongoza babu, chezea njaaa mjini hapa. Babu hatakiiii, mara hana uhakika kama mkewe atakuwa alright if he sees somebody else uko aliko. Babu naeeee. Mtu ashatanguliaa. Ila company ndo aliifurahia, shoga kafilisika hana la kufanya yuko available 24/7. Huku na huku akamuonesha wanae wa 2 wasiotakiwa na baba zao.
Babu kakubali kuwasomesha international school, ananiuliza niseme shule gani Atlas, atlas hio vepee shule ya 1m, sema heaven of peace shule 10m babu lina helaa lile. Akamjaribu ila anajiwahi if its is expensive nitatafuta shule ingine. Babu akasema its okay. Akajua its okaya za vijana utangoja sanaaa. Hahaha. Kweli kuwapeleka admission ikazingua hawajui kitu, akamwambia waende Genessis mwenye shule rafiki wa mwanae, ndo 7m. Shoga yupo kama naotaaa. Kawakaribisha kwenye ghorofa lake mbezi beach bia dada na wanae. Anakula na kunya bureee. Sana sana akae asikize story za faza, washinde wana kunywa, au kwenye golf, au wanazurura all over the world. What a life. Kumbe faza alikuwa common wealth amestaafu ana bonge la pension na wanae wako poa sanaa.
Changamoto watoto wa faza umri wetuuu, wametuzi kidogoo, hawamtakiii shosti, hawamtakiii hata kumsikiaa, achia kumuona. Hawamtaki wala wanae hawatakiwi. Wakija ni kumfanyia drama mpaka mwishoooo. Au wakienda kwao ni dramaa za hatari. Mi namwambia komaa wewe vumbi la nguo huku sio dogo, tunashinda na mask. We wasamehe wafanyie upendo watakuzoea tu, hata wasipokupenda watakuzoea. Kaza nafsi. Mjini hapa. Ananimbia Faza kasema najua siku nisipokuwepo wanangu watakuonea sanaa, nitakulinda wewe na wanao. Haleluyaaaa. Ndo raha ya watu wazima wanaelewa picha lote. Shoga ananiambia nikiwaza siku hayupo roho inanilipukaaaa, siaki kabisaa kuwaza asiwepo vipi sasa. Maskini ashampenda faza.
Mara ooooh unajua na K bado tunaonaa kwa siri, kwa siri sanaa, na akili kubwa Morogoroooo, faza hawezi kustukaa labda umwambie wewe. Mxiuuuuuuu. Nikajua tu hana round huyu firauni ,wana filajunaaa, shubhamitiii. Sikutia neno. Akaanza dont judge me, hujui, its so hard, anamtaja mkewe kila saaa, ujinga mtupu. Sasa akimtaja mkewe atarudi? Huyo K vuzi tu hana hata 100.