Masaa mbele
Member
- Mar 14, 2017
- 45
- 15
NAONGEA NA WEWE APO...
Wewe ambaye miaka MITANO ya UCHUMBA,
ushamfunuafunua MTOTO wa watu kama SUFULIA la PILAU msibani!
Unamjua MWILI wake kama unavyojua mabeti ya wimbo wa Taifa ile MUNGU IBARIKI!!
MTOTO wa WATU amewakataa WANAUME kibao,
Amepoteza MUDA wake kwaajili yako
Akiamini WEWE ndio HUSBAND TO BE,
Ametulia anajua NDOA inafuata hivi karibuni halafu wewe GHAFLA tu unakuja kumzingua na kutangaza NDOA na mtu mwingine!
Akikuuliza sababu ya
kumuacha yeye
unasema siwezi KUOA
Mwanamke hajui KUKATA MAUNO
kitandani,
nataka kuoa FUNDI wa
kumiliki KITANDA, Ulimfundisha??
Kwani unaoa MKE wa
kujenga nae FAMILIA au
unaoa MKE wa kwenda
kufungua
BENDI ya KUKATA MAUNO??
Maana kama NIA yako ni kupata
MKE anayekatika basi ungeenda
KUOA Wanenguaji kwenye
BENDI ya MALAIKA MUSIC BAND au AKUDO IMPACT au basi ungeenda hata TWANGA PEPETA.!!
Mnaumiza WATOTO wa WATU yaani
KIBWEGEBWEGE na sababu za
KIJINGA JINGA.
Kwani utakula KIUNO
all UR LIFE??
Au mtajenga UCHUMI wa FAMILIA kwa MAUNO ya KITANDANI??
Tuacheni KUCHEZA na HISIA za WANAWAKE jamani!!
Nimetupa JIWE kizani kama limekukuta NISAMEHENI bure na Kama UMEKASIRIKA basi KUNYA VIWEMBE!!
Share.