UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Habari za jioni wanaJF,
Kaka yangu kaamua kumfuata bosi wake na kumueleza kuwa watoto wake wa kiume wamewapachika mimba mabinti zake. Bosi kamwambia atalifuatilia na akaamua kuwaita wanae na kuwauliza suala hili. Watoto wa bosi wamekana lakini wanangu wamekiri kufanya mapenzi na watoto wa bosi na wamepewa hela wasiwataje.
Kaka kaondoka kwenda kijijini.
Nitawapa updates zaidi...