soul provider
JF-Expert Member
- Jun 21, 2014
- 1,341
- 2,113
Salaam wakuu
Humu ndani baadhi ya wana Jf tumeweka signature zenye kubeba maana flan au kumbukumbu za matukio halisi katika maisha ya kila mmoja. hebu Leo tushare kile kilichopo nyuma ya pazia, signature yako inakumbusha matukio gani katika maisha yako?
Tukianza na mimi, nakumbuka miaka ya nyuma nikiwa chuoni kulikuwa na binti akimzungusha sana jamaa yetu kuhusu swala la kuwaSha video. Daily jamaa anapigwa kalenda demu hatokei getho. Siku hio kama zali wametoka discussion mida ya night jamaa kamkomalia binti kichakani akawasha video unexpectedly. Sasa kimbembe kesho yake mshkaji kafanya usafi wa nguvu getho ili ajiachie na mtoto kwenye usalama zaidi tofauti na kule kichakani kwenye manyoka. Demu kupigiwa simu aje, akagoma kabisa. Jamaa akabaki anatoa macho.
Hapo ndipo nilipopata kamsemo kangu AKILI YA MWANAMKE INATEGEMEA NA SIKU ALIVYOAMKA