Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilichogundua, mahusiano mengi yanavunjika kutokana tu na jazba, mihemko au hasira toka kwa wapendanao. Kwenye kila uhusiano kuna kupendana kama machizi, kuzoeana na mwisho uchokana kabisa. Hivyo...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
JINSI YA KUMRIDHISHA MWANAUME KAMA UPO PERIOD Leo katika pitapita zangu nikakutana na mabidi wamejaza koridoni getu kwangu. Walikuwa kumsabahi rafiki yao (beki tatu wangu) ndipo nikawapita baada...
9 Reactions
176 Replies
91K Views
Hivi wakuu duniani watu wanapendana au wanaonea huruma tu?? Kama kweli watu wanapenda, kwanini vitu kama hivi hutokea?? Kwanini watu wanasalitiana?? Kwanini watu wanaoana na kuachana na...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
wazee wetu waliamini/wanaamini kwamba ndoa ya kudumu au imara itapatika kama tu wapendanao walikaa na kuchunguza tabia zao kwa kipindi maalumu kabla ya kuoana na sio kwa nyakati hizi za leo watu...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Kuna haka kamchezo ketu wanaume, upo na mamilo mnatembea au mmekaa sehemu mara vuupu unapita mzigo wa haja/miss bantu shekh/mizigo mikubwa mikubwa shekh(shekh kipozeo) gafla bailojia inachange...
65 Reactions
527 Replies
32K Views
Last week nikiwa katika mizunguko yangu nakutana na binti mrembo sana nikisema mrembo sana namaanisha hasa. Kama ilivyo kawaida yangu baada ya shughuli za ujenzi wa taifa hili , na kama mwenyekiti...
9 Reactions
165 Replies
35K Views
NI VEMA UKAYAJUA HAYA KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA: 1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa ni ya maisha yote. 2.Upole na ukimya si kiashiria cha tabia njema. 3. Ukikitaka ambacho...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu nilipotea kidogo baada ya kuwa busy na matatizo ya hapa na pale.Lkn nilisema nitakuja kumalizia sehemu ya pili na ya mwisho ya "Utafiti" wangu kwenye Massage Parlour. Humo wakuu ni...
8 Reactions
18 Replies
9K Views
Katika Kijiji cha Tombo, Kaunti ndogo ya Kakamega kaskazini, kuna mama mwenye upweke mwingi. Bwanake alienda jijini Mombasa kutafuta riziki, hali ambayo imegeuka kuwa dhiki. Bi Shikwekwe...
2 Reactions
60 Replies
12K Views
Unaweza kudhani ni story za vijiweni lakini kwa wale wenye watoto tayari kati yao wanaweza kujua nazungumzia nini Mimba ni matokeo ya muunganiko wa manii ya mwanaume na mayai ya kike, na baadhi...
10 Reactions
131 Replies
10K Views
Kama jinsi ya kutengeneza massage oil hakuna tofauti na baby oil ila kinachobadilika ni aina na idadi ya mimea unayoitumia. Utahitaji:- 1. Handful (kiganja) (10g) ya majani makavu yaliyosagwa ya...
10 Reactions
34 Replies
62K Views
yani ile umepigika na kwenye list la vyeti feki jina limetiki! mke ndio anatunza familia gafla umepewa taarifa mkeo yupo na mchepuko maeneo fulani, unafika karibu na eneo la tukio unamsikia mjamaa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za muda huu, 1) Naomba kujulishwa athari zitokanazo na watu waliofunga ndoa wakiwa na imani tofauti. 2) Je kuna tofauti yoyote baina ya watu waliofunga ndoa kwa imani moja na wale...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Mchoraji na mtangazaji, Masoud Kipanya anasema hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja. Ukiona katulia na mmoja basi ana matatizo au uchumi umekaa vibaya. Unakubaliana na alichoongea...
1 Reactions
68 Replies
10K Views
Umekutana na mdada hana muda nawe, ukavutiwa nae, ukamshawishi weee! Shawishii weeee! Mdada wa watu, akaanza kukufikiria, akakutafakari, akakuwaza, mwishowe akaona isiwe shida, akakukaribisha...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa kuniweka salama siku ya leo japo hapa nilipo pressure ipo juu kweli kwasababu ya binti ambaye kwa dhati ya moyo wangu niweke wazi napenda...
4 Reactions
100 Replies
9K Views
Salam sana wanajamvi; kwa namna yeyote ile, tunaweza kuwa na rundo la sifa la binadamu mzuri wa jinsi ya KE, ILA wingi sio TIJA, kwani mke ni msingi wa familia, jamii na Taifa bora kwani yeye...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wakuu leo majira ya saa tano Asubuhi nilienda hospitali ya Mnazi Mmoja kwa kumuona Doctor. Ile natoka nikamuona yule mdada ambaye nilikua naye anatoka Kwenye Mlango wa Ushauri nasaha na Kupima...
1 Reactions
68 Replies
7K Views
Wakuu Kwema! Leo ningependa niwashirikishe Jambo Moja kuhusu Majina ambayo hawa Viumbe wanaohudumu katika Maeneo ya Moja baridi Moja Moto Hu-save watu wao..Kuna siku nilikaa karibu na Mhudumu...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Noma tupu unaambiwa mamamanahamisha majeshi from Southampton to Mahenge...duh! noma tupu...lakini anajua kama huyo mwinyi anaruhusiwa kuoa wake 4? British teacher moves to a tiny village in...
0 Reactions
28 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…