Kipanya asema mwanaume hawezi kuridhika na mwanamke mmoja!!

Kwanza TV

Member
May 2, 2017
33
69
Mchoraji na mtangazaji, Masoud Kipanya anasema hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja. Ukiona katulia na mmoja basi ana matatizo au uchumi umekaa vibaya.
1f602.png
1f602.png


Unakubaliana na alichoongea? Akina mama na akina dada iwapo yuko sahihi, mna mpango gani?

 
Kama alivyosema kipanya, basi akae akijua na kutambua kabisa kuwa ndani ya kila binadamu kuna nguvu ya "KARMA" , na akipuuza inaweza mnyemelea
Hadi mkewe kwa kuwa naye hawezi kutulia na "kipanya tu mmoja" lazima atafute
vipanya wengine vinginevyo awe na matatizo kwenye mambo ya 6 kwa 6 .
 
Kuna ukweli kwa asilimia nyingi tu

Mwanaume ukiamua kutulia ndani ya ndoa na huna tatizo kiuchumi wala kiafya basi wife inabidi ajiandae kwa gegedo la kila siku maana wanaume hamu haiishi kirahisi kama wanawake.
Wake zetu mtuvumilie tu hakuna namna thats nature.

Sichepuki, ukitaka kujua nakabiriana vipi na situation hiyo soma maelezo yangu hapo juu, mke wangu kazi anayo.
 
Back
Top Bottom