torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 3,803
- 9,291
yani ile umepigika na kwenye list la vyeti feki jina limetiki! mke ndio anatunza familia
gafla umepewa taarifa mkeo yupo na mchepuko maeneo fulani, unafika karibu na eneo la tukio unamsikia mjamaa anamwambia mkeo...
honey ebu chukua miliioni 1 hii kampe mme wako zimsaidie sababu hana kazi hana vyeti!
jamaa linaongezea tena...
alafu mwisho wa mwezi utakuja pale kwenye hoteli yetu nikupe millioni 50 umpe mme wako akafanye biashara awe bize asitusumbue!
je wewe kama kidume, utanzisha vurugu mechi hapo? au utasubiri millioni 50 kwanza?
ukizingatia jina lako umeliona kwenye list ya vyeti feki