Pyepyepye
JF-Expert Member
- Jan 6, 2017
- 1,940
- 3,829
Umekutana na mdada hana muda nawe, ukavutiwa nae, ukamshawishi weee! Shawishii weeee! Mdada wa watu, akaanza kukufikiria, akakutafakari, akakuwaza, mwishowe akaona isiwe shida, akakukaribisha.
Kakukaribisha kwenye conscious mindyake, baada ya muda automatically akakufanyia uhamisho wa kukupeleka kwenye subconscious mind yake. Naam mdada anakuwa mwenye amani na furaha tele kwa kuwa amekuweka pahali sahihi na moyo wake unaamini kuwa wewe ndiwe mtu sahihi kwake.
Masikini ya MUNGU, kupitia kujitoa sana kwa mkaka, mkaka anajua tu kuwa sasa yuko kwenye sakafu ya moyo dada huyu. Hapo ndo anaanza vitimbi, vurugu, kutojali, na kukusema ovyo, "anajipendekeza tu, wala simpendi" Kweli?
Kama usingelimshawishi angejipendekeza kwako?
Kafanya kosa kukupenda kwa dhati?
Angekukataa na kukuzodoa mbele za watu ungejisikiaje?
Jiweke kwenye nafasi yake, vaa viatu vyake pitia maumivu yake kisha toa tathimini, nao wana moyo kama wewe braza meni
Nyie wanaume dizaini hii mnafanya hadi sisi wenye tabia nzuri tusipate wa dhati aisee.
Muongopeni MUNGU.