Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nawasalimu wakuu, Sio mara moja au mbili katika harakati za kutafuta papuchi unapokaribia kukubaliwa unaulizwa hivi "una malengo gani na mimi" nakumbuka mara tatu za mwisho nimeulizwa hili swali...
1 Reactions
30 Replies
11K Views
Habari wakuu, Mimi ni kijana kimri, nimebahatika kupata mafanikio ya kimaisha katika umri huu, ninafanya biashara ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Nje ya mafanikio ya kifedha nina ndoto ya...
4 Reactions
47 Replies
4K Views
Habari wana Jambi Kiukwel siku ya Jana kama ingekuwa Olympic nngetwaa medal ya gold. Picha linaanza asubuh ofisini mfanya usafi Monica ananipa utamuuu bila hiyana mezan pale ofisini ka nusu saa...
12 Reactions
106 Replies
12K Views
Hali imezidi kua mbaya sana toka mkuu wa kaya abane matumizi yasiyo na lazima zamani madem walikua na nyodo sana maana pesa zilikua nyingi wengi waliwekwa vimada na mapedeshee mjini wakipangiwa...
5 Reactions
65 Replies
14K Views
Huyu mwanamke nipo nae mwaka wa nne huu na tumefanikiwa kupata watoto wawili wa kwanza anaumri wa miaka miwili wa mwisho ana mwezi mmoja, tatizo hatuelewani kila siku kelele na keshanitamkia kuwa...
3 Reactions
103 Replies
8K Views
Mwanamke anamuita mpenzi wake, ''Baby, njoo unifuate mjini nimekumiss,'' unatoka Tegeta unaenda posta, unapita sheli unaweka mafuta, mengi tu,...haya umemchukua mmeenda hotelini kupiga mechi ya...
19 Reactions
83 Replies
5K Views
jamani heri ya sikukuu !nimewamiss sana majukumu mengi leo wandugu naombeni mnisaidie juu ya hili, assume relation status yako ni single hujaoa au kuolewa....lakini upo kwenye mahusiano yasiyo...
5 Reactions
112 Replies
9K Views
Wadau wa jamvi hili, Hivi imewahi kuwatokea unakutana na binti mrembo wa haja, mwenye umbo linalopendwa na wengi na mvuto wa kila aina bila kusahau sauti nyororo ya mahaba lakini kinywa chake...
0 Reactions
58 Replies
10K Views
Mgegedo ni tafsida nimeitumia kama kiwakilishi cha maumbile ya mwanaume yaani uume. Mgegedo ni eneo muhimu sana kwawanaume ambalo wanalitukuza kuliko kitu chochote hapa duniani, hivyo leo...
10 Reactions
100 Replies
39K Views
Mada tajwa yahusika Wadada kujeni mtuambie mnafanyaje shughuli hizi:- Kula ugali Kufua hasa nguo ngumu Kuosha Nyeti "K" Kwa ndani Kujitawaza mkiwa chooni Na hiyo mikucha yenu mirefu mnayoibandika
16 Reactions
176 Replies
12K Views
Habari wana MMU! Nimepatwa na tatizo la mawasiliano ndani ya siku za hivi karibuni katika mahusiano yangu na mtu nayempenda. Tulikuwa tunawasiliana vizuri mwanzoni ila juzi mei mosi nampigia simu...
5 Reactions
98 Replies
9K Views
Kama title inavyo jieleza, picha ifuatayo inatoa Maelezo kuntu hasa kwa wale wasiotumia Contraception (uzazi wa Mpango) katika kipindi hiki cha baridi na mvua za hapa na pale. Wasalaam.
6 Reactions
28 Replies
5K Views
Nimejaribu kufuatilia mitazamo na hisia za wanawake wangi walioachika au waliozalishwa na kutelekezwa na kugundua wamepokea vizuri sana tukio hilo na wanaliunga mkono kwa nguvu kubwa. Pia...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanajamii habari zenyuuu!! wajameni kuna kautafiti kapi eti unaweza ukagundua kwenye mitandao ya kijamii especially fb kwamba huyu mwanamke au demu anakupenda? coz mi binafsi kuna kautafiti...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa nini baadhi ya wanawake wanatabia za ajabu Sana? Mimi Nina demu mmoja kila nikimuita tuonane anakuja kweli lakini lazima aseme hajala hata kama ni saa ngp atasema sijala dear, naomba ushauri...
6 Reactions
94 Replies
9K Views
Watu wanajisahau sana siku hizi, kazi kula vya wenzao tu. Just posting this video ilikuweka reminder kwa wale wanaopenda kugonoka na wake za watu, kuwa hata hili linaweza likawatokea na wao pia...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
1. Kwenye mshituko; mwanaume hushituka halafu huangalia nini kimemshitua, mwanamke hushituka halafu huzimia hivyo ataambiwa na mwanaume kilichomshitua 2. Kwenye kupenda; mwanaume huanza kutamani...
10 Reactions
26 Replies
4K Views
TIA YOTE~1-2 by gao Wasap:0654387935 e Nikiwa mmoja ya wanafunzi wa shule ya sekondari. Siku moja mwalimu wetu wa darasa alikuja na mwanafunzi mgeni ambae ndio aliingia shule, na kuwekwa...
3 Reactions
34 Replies
182K Views
mambo wakuu? X wangu kajifungua mtoto wa kiume ana mwezi mmoja,mimi ndiye chanzo cha mahusiano kuvunjika.toka tuachane tumekua marafiki wa kawaida tu.sasa kapata mtoto,je nimnunulie zawadi gani?
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Kwa hisani ya kiumeni. 1. Tabia ya kuchukua namba watu humu ndani na baadae kuwasiliana kisha mkishindwana huko unakuja kumwaga umbea wako kama mwanamke wa kizaramo ni Ushamba na ulofa. 2...
3 Reactions
107 Replies
9K Views
Back
Top Bottom