Huyu binti ananifanya nikonde

fokonola bokoyoka

JF-Expert Member
Feb 13, 2015
966
638
Ndugu zangu,

Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa kuniweka salama siku ya leo japo hapa nilipo pressure ipo juu kweli kwasababu ya binti ambaye kwa dhati ya moyo wangu niweke wazi napenda sana awe mama watoto wangu kwa muda ambao yeye atakuwa tayari mimi nipo tayari muda wowote.

Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni hali ngumu na mawazo anayonipa huyu binti sio uwongo ananidengulia sana, ni mwanamke niliye dumu naye kwenye uhusiano kwa kipindi kisichopungua miezi mitatu lakini nimetokea kumpenda mpaka nimefikia hatua ya kutaka kuoana naye na akanikubalia.

Lakini kwa siku za karibuni zisizozidi wiki mbili amekuwa mtu asiyeeleweka kwa maana ya kwamba anatuma SMS ananiambia tuachane kwa mda kwanza alafu tuendelea baadaye hivyo hivyo nalialia mpaka anabadilisha mawazo. Lakini hiyo tabia ilijirudia kwa mara tatu na mara ya nne nikapiga moyo konde japo naumia moyo nijamjibu kuwa asiwe na tatizo nimekubali kuachana nae kama anavyohitaji.

Lakini leo asubuhi akatuna SMS kwamba hakumaanisha bali ni utani tu na mimi nikamwambia HAPANA acha iwe kama ulivyohitaji mwanzo, akajibu POA.

Lakini ndugu zangu niwe muwazi ili mnishauri vyema huyu binti nampenda sana sana ila niliamua tu kutikisa kiberiti na mimi.

Je, kuna uwezekano ananipenda au ashaniona kilaza na kunifanya mdoli?

Tafadhali nahitaji ushauri wenu.
 
Ndugu zangu awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa kuniweka salama siku ya leo japo hapa nilipo pressure ipo juu kweli kwasababu ya binti ambaye kwa dhati ya moyo wangu niweke wazi napenda sana awe mama watoto wangu kwa muda ambao yeye atakuwa tayari mimi nipo tayari muda wowote.

Kilicho nisukuma kuandika uzi huu ni hali ngumu na mawazo anayonipa huyu binti sio uwongo ananidengulia sana, ni mwanamke niliye dumu naye kwenye uhusiano kwa kipindi kisichopungua miezi mitatu lakini nimetokea kumpenda mpaka nimefikia hatua ya kutaka kuoana naye na akanikubalia. Lakini kwa siku za karibuni zisizozidi wiki mbili amekuwa mtu asiyeeleweka kwa maana ya kwamba anatuma sms ananiambia tuachane kwa mda kwanza alafu tuendelea baadaye hivyo hivyo nalia lia mpaka anabadilisha mawazo. Lakini hiyo tabia ilijirudia kwa mara tatu na mara ya nne nikapiga moyo konde japo naumia moyo nijamjibu kuwa asiwe na tatizo nimekubali kuachana nae kama anavyohitaji.

Lakini leo asubuhi akatuna sms kwamba hakumaanisha bali ni utani tu na mimi nikamwambia HAPANA acha iwe kama ulivyohitaji mwanzo, akajibu POA.

Lakini ndugu zangu niwe muwazi ili mnishauri vyema huyu binti nampenda sana sana ila niliamua tu kutikisa kiberiti na mimi. Je kuna uwezekano ananipenda au ashaniona kilaza na kunifanya mdoli?

Tafadhali nahitaji ushauri wenu.

Ndio muda wa wewe kujiandaa kuachana, ukisubiri siku unapigwa chini ndio utachizika
 
Ni demu wako wa ngapi mkuu? Inaonekana kama wote ni wageni wa mambo hayo ndo maana mnaulizana maswali hayo.. Sasa we ongeza bando tu ili usije kuchacha kisha tafuta vyuma vingine endelea kutafuna kadri uwezavyo kisha ndo utakuja kuona kuwa kumbe hata yeye hakuwa chaguo sahihi...
 
Ndugu zangu awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa kuniweka salama siku ya leo japo hapa nilipo pressure ipo juu kweli kwasababu ya binti ambaye kwa dhati ya moyo wangu niweke wazi napenda sana awe mama watoto wangu kwa muda ambao yeye atakuwa tayari mimi nipo tayari muda wowote.

Kilicho nisukuma kuandika uzi huu ni hali ngumu na mawazo anayonipa huyu binti sio uwongo ananidengulia sana, ni mwanamke niliye dumu naye kwenye uhusiano kwa kipindi kisichopungua miezi mitatu lakini nimetokea kumpenda mpaka nimefikia hatua ya kutaka kuoana naye na akanikubalia. Lakini kwa siku za karibuni zisizozidi wiki mbili amekuwa mtu asiyeeleweka kwa maana ya kwamba anatuma sms ananiambia tuachane kwa mda kwanza alafu tuendelea baadaye hivyo hivyo nalia lia mpaka anabadilisha mawazo. Lakini hiyo tabia ilijirudia kwa mara tatu na mara ya nne nikapiga moyo konde japo naumia moyo nijamjibu kuwa asiwe na tatizo nimekubali kuachana nae kama anavyohitaji.

Lakini leo asubuhi akatuna sms kwamba hakumaanisha bali ni utani tu na mimi nikamwambia HAPANA acha iwe kama ulivyohitaji mwanzo, akajibu POA.

Lakini ndugu zangu niwe muwazi ili mnishauri vyema huyu binti nampenda sana sana ila niliamua tu kutikisa kiberiti na mimi. Je kuna uwezekano ananipenda au ashaniona kilaza na kunifanya mdoli?

Tafadhali nahitaji ushauri wenu.

Anajua umechizika nae hivo anakurusha roho
 
Yaan iyo movie ulitakiwa umalize siku ya kwanza afu uzime taa kbsa adi yy mwenyew ashangae ..ajue kumbe na ww ulikuwa unasubr hili tukio kitambo
 
Back
Top Bottom