torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 3,806
- 9,300
wazee wetu waliamini/wanaamini kwamba ndoa ya kudumu au imara itapatika kama tu wapendanao walikaa na kuchunguza tabia zao kwa kipindi maalumu kabla ya kuoana
na sio kwa nyakati hizi za leo watu wanachukuana tu ndani ya mwezi wameshavalishana mashera na mapete kibao mkononi!
ni kweli kwamba kujuana tabia kabla kuoana usaidia ndoa kudumu?
au inawezeka watu wakaoana ndani ya mwezi na bado ndoa ikadumu!