Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,212
- 16,915
Hivi wakuu duniani watu wanapendana au wanaonea huruma tu?? Kama kweli watu wanapenda, kwanini vitu kama hivi hutokea??
- Kwanini watu wanasalitiana??
- Kwanini watu wanaoana na kuachana na kuoa/kuolewa tena??
- Kwanini wengine wanaoa mpaka wake wanne??