Jimama la KIZUNGU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jimama la KIZUNGU

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Game Theory, Oct 11, 2008.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Noma tupu unaambiwa mamamanahamisha majeshi from Southampton to Mahenge...duh!

  noma tupu...lakini anajua kama huyo mwinyi anaruhusiwa kuoa wake 4?
  British teacher moves to a tiny village in Africa - after falling in love with a tribal elder | Mail Online
   
 2. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Mkuu GT,

  Heshima mbele ndugu yangu, sasa hapa hii habari kweli imekaa sawa? Maana Mahenge nijuavyo mimi ni wilaya iliyopo mkoani Mrogoro, ina makao yake makuu mjini Mahenge, mji wa zamani sana uliojenwga na wakoloni,

  Hali ya hewa yakule ni sawa na majuu, na pia kunapatikana sana pembe za ndovu na madini mbali mbali, kwa hiyo paliwavutia sana Catholic Mission, ambao ni almost wanamiliki mji huo,

  Umeme upo wa Generator, matajiri wenye uwezo ni wengi sana hasa waarabu na wahindi, kuna shule kubwa mbili za Secondari, Kasita Seminary na Kwiro Secondari shule ya boarding baabu kubwa niliposoma mimi mwenyewe mkulu wa Radio station ya FMES kwenye lower level, mjini kuna uwanja wa mpira wa miguu wa wilaya saafi sana ambapo mimi mwenyewe nimeichezea sana timu ya shule yangu, na mchanganyiko ya wilaya,

  Kwa kweli mkuu huyu mwandishi amenigusa sana na kuniumiza roho yangu, unless awe anaongelea Mahenge nyingine, maana ninayongelea mimi ni ile ambayo huwezi fika kule mpaka uvuke mto Ruaha, na upande mlima mmoja wa maajabu sana karibu na kufika mjini unaitwa Ndororo, au?

  Labda amekosea maana Mahenge ninayoijua ni babu kubwa sana, na ninaweza ku-trade places na huko anytime ili nihamie Mahenge mara moja kutoka nilipo sasa, I mean now!
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2008
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  GT Na mimi narejea Tz November. Nitahakikisha nawatembelea wana ndoa hawa.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Oct 11, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
 5. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2008
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,433
  Likes Received: 2,303
  Trophy Points: 280
  Habari haijakaa sawa kabisaaa!!! Naona mwandishi ana-exaggerate mambo ili kuvuta wasomaji....
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Love is more powerfull.
   
 7. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2008
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Haishangazi kwani wengi wa hawa watu weupe wana mtizamo potofu sana kuhusu Afrika.Nadhani kuna wenzangu ambao wameshaulizwa maswali ya kishenzi kama "hivi kweli Afrika kuna watu wanaishi kwenye miti."Jibu langu la haraka huwa hata balozi wenu huko Tanzania naye anaishi kwenye mnazi ulio porini.
   
 8. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2008
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Mkuu FMES upo sawa kabisa, ninaifahamu Mahenge ya Morogoro haipo hivyo kabisa. Kwa kuangalia picha inayoonyesha nyumba ni dhahiri kwamba siyo Morogoro. mahenge ya Morogoro hawana nyumba za nyasi zenye mapaa manne, nyumba hizo zinapatikana sana Iringa. huenda jamaa anaongelea Mahenge ya Iringa ambayo ipo kati ya Kitonga na Ruaha Mbuyuni. Mahenge hii (ya Iringa) haina umeme kabisa na ni typical village.
   
 9. F

  Francis New Member

  #9
  Oct 11, 2008
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata Dar kuna sehemu zina nyumba za manyasi! We unashangaa Mahenge Mkuu!!!
   
 10. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2008
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Francis uwe unasoma sentensi nzima siyo nusu nusu. Nimesema "nyumba za nyasi zenye mapaa manne" sijua kama unaelewa hapa. Nyumba za nyasi za Morogoro zina mapaa mawili (mgongo wa tembo). Mkuu kumbuka kila kabisa lina nyumba za namna yake. Kwakuwa upo dar es salaam nenda pale makumbusho halafu waombe wakuoneshe nyumba za makabila mbalimbali ili uone tofauti.
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kwa kweli Mahenge hali ya hewa imetulia sana, kuku wa kienyeji wakubwa ile mbaya...siku za wikiendi pale mjini Mahenge jamaa wanatoka machimbo huchafua hali ya hewa na mapiki piki yao, vurugu bar hawtaki wengine wanunue ulabu hahahah. Kusahihisha kidogo Kabla ya kufika Mahenge wapita Ifakara mjini na kuvuka Mto Kilombero, mto wenye sifa za mamba wengi kuliko samaki. Wenyeji wa mahenge ni wapogoro jamaa wakalimu sana sana...Mahenge kuna upinzani sana kisiasa, CUF na TLP wana nguvu sana na wana viti vya udiwani.[​IMG][/URL][/IMG]
   
 12. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2008
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,908
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Mkuu hili jibu lako nimelipenda sana, hata mimi nitaanza kuwajibu hivyo manake huwa wananikera kweli kwa maswali yao ya kupuuzi.
   
 13. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #13
  Oct 11, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Halafu pia mahenge kuna madini --- kwahiyo tujiulize pia je jimama limekuja kwa kujua utajiri wa madini yale ??
   
 14. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Its Unquestionable,It Knows No Boundaries,Unconditional and Patient!
   
 15. P

  Papa Sam Senior Member

  #15
  Oct 11, 2008
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mahenge ina umeme wa Grid ya taifa,wahindi wapo familia nne, Kwiro bado ipo haina vurugu tena baada ya vurugugu zetu za mwaka 94, waarabu familia tano, uwanja wa mapinduzi umegeuka eneo la malisho ya ngombe, madini yaliisha kitambo, pembe za ndovu zipo,japo si dili sana. karibu tena MAHENGE, TUKUTANE VIGOI,nAWENGE
   
 16. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2008
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  JAMANI,kwetu ni kwetu,lakini kwenye ukweli tusibishe,sasa hatakama kuna umeme,barabara nzuri nk maadam kuna vitu kama choo cha shimo,lazima tukubali vitu kama hivyo ni low of the low hata usifie vipi jamani choo cha shimo utajitetea vipi? mimi naamini humu JF,80% under any curcumstance,ni afadhali wakajisaidie porini kuliko kwenye hivi vyoo
   
 17. M

  Malila JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2008
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Iwe mahenge ya Iringa au ya Morogoro wacha huyo mama aje. Mama mwenyewe kasema kesha kuja mara kadhaa na ameamua kuhamia; sasa habari za vyoo vya mashimo zinakujaje,si tayari alishatumia alipokuja kabla!!!
  Hayo ndo malovee.

  Ukipenda boga,penda na ua lake kabisa.
   
 18. R

  Rodelite JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2008
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 320
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Penzi limemkolea huyo mama....na ahamie kwa mapana na marefu....lol
   
 19. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mapenzi!!!!1
   
 20. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  I doubt.Au na wewe ushanaswa mkuu?
   
Loading...