Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Wakuu leo majira ya saa tano Asubuhi nilienda hospitali ya Mnazi Mmoja kwa kumuona Doctor.
Ile natoka nikamuona yule mdada ambaye nilikua naye anatoka Kwenye Mlango wa Ushauri nasaha na Kupima Virusi vya UKIMWI nimeshtushwa sana kwani wote waliokua pale walikua wana afya zilizodhoofu ila yeye mwili wake upo kawaida.
Sikuweza hata kuongea naye style ninayotumiaga tukiachana na Mwanamke huwa ni Ngumu kuongea au Kusalimiana naye tena.
Wakuu yule Dada si Daktari, Nesi, Mshauri wa mambo ya UKIMWI lakini nimemkuta katika mazingira ya Kutatanisha. Je Anatumia dose? Nikapime? au nitulie hadi nitakapoona Dalili.
Msaada.