Sehemu ya Mwisho:"Utafiti" wangu sehemu za Massage Parlour na hitimisho lake...Huko ni hatariii

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,710
3,669
Wakuu nilipotea kidogo baada ya kuwa busy na matatizo ya hapa na pale.Lkn nilisema nitakuja kumalizia sehemu ya pili na ya mwisho ya "Utafiti" wangu kwenye Massage Parlour.

Humo wakuu ni hatari,sasa wanawake wengi wasiotaka kupanga foleni huko mitaani ndio wanapatikana huko.Yaani huko unakutana na mdada mzuriii ambaye mchana huwezi hata kumsimamisha lkn anakupa papuchi kwa elfu50 tu.Tena na ukata huu wa JPM "bidhaa" imepungua bei mpaka Tsh.35000.

Baada ya utafiti wangu kuanza kwenye massage parlour za Kibongo za bei ya chini,sasa nikaanza kwa zile za bei ya kati na ya juu.Huko unakutana na wadada wenye magari yao na password zao kabisa.Haipungui laki na nusu na kuendelea.Hawa kufunua papuchi yao ni kazi sana,ila wanachofanya ni "blowjob" au "Musterbation" tu ukizidiwa.

Wengi wa hawa wana mafunzo kabisa ya mambo ya massage tofauti na wale wa zile za "uswahilini".Wananyoosha viungo na kupapasa kila kona ya mwili,kila unaposisimuka wanajua wapi pa kukushika ili "Abdalah kichwa wazi" alale chini.Sehemu hizi wateja wengi ni watu wakubwa na wenye heshima yao ktk jamii.

Zipo zile za Wachina na Wafilipino,hizi nazo ni balaa.Huku wadada wengi wa Kichina ambao wamekatiwa work permit kama wafanyakazi wa mahotelini wapo huku.Hizi nyingi ni maalumu kwa Wachina na wengine wanaotaka papuchi ya ladha yakichina.Hizi ni kama danguro za Wachina wanaotaka kukumbuka kwao.Humu nimepita na kutembelea.Unajikuta unaweza kufanyiwa "Mseto Massage",yaani wachina wawili huku na huku half naked wakiushambulia mwili.Cha muhimu ni pesa yako tu.

Ukisikia Mchina anakukandakanda halafu anasema "Do you need Happy Ending?"...basi hapo anataka akupe mwisho wenye furaha!!Jibu liwe jepesi tu "Yes".

Yote kwa yote,massage hizi za Wachina na Wafilipo zinaufanya mwili unakuwa mwepesi kama karatasi,yaani ukiimaliza unaweza dhani kilo za mwili zimepungua,maana mwili unakuwa mwepesiii..wanakanda kuanzia kidole gumba mpaka utosini.

Wito kwa kina dada,jifunzeni kuwafanyia waume zenu hii huduma ya massage,tena mjifunze sana sana.Wanaume wengi wamekuwa "mateja" wa hii kitu.Ni kwa sbb ni kitu ambayo ukianza huwezi acha kirahisi.Unakuwa addicted,sasa kama huipati nyumbani kwa mama,utaifuata popote hata mara moja kwa mwezi.

Jifunzeni hata kwa njia ya mtandao(Youtube),sio mnashinda Insta na fb tu.Mnaweza kuona jambo la kitoto,lkn kwa "utafiti" wangu na mahojiano na wadada wa massage centres,wateja wengi sana ni waume za watu.Na kwa sbb kubwa ni kuwa huduma hii haipatakani nyumbani kwao.

Lotion ya Girlfriend,mixture mafuta ya Olive from Dubai plus mint.Basi hii ndio material ya kukandakanda mwili,iwe kwa wadada kwa waume zao au waume kwa wake zao.Maana sasa mpaka wanaume wameanza kufanya kazi massage centres kwa ajili ya wake za watu.

Mapenzi ni uchizi,ukileta kanuni zako za kitabuni...Jiandae kuibiwa!!Hayanaga "mambo ya kijinga",hilo la kijinga ndio linalomridhisha mwenzako na akimpata wa kumafanyia hilo la kijinga ndio umeliwa.
 
Hahahahahaahhahahah Kinondoni pale Jirani na Kituo cha Polisi Kinondoni Shamba, Kinondoni Jirani na Muslim Secondary, Mikocheni Jirani jengo Nyumba za Viongozi kuna jengo fulani
 
Umenena vizuri mkuu kweli mwanamke kama anaona ujinga kukufanyia hayo mambo ajiandae kulia baadaye.
 
We kweli kiazi..Midemu watu tunafokoa mpaka maugali we unasema kufunia papuchi zao kazi sana..we kweli bado..
 
mimi huwa siendi kwenye hizo massage palour sijui nini, kwasababu massage zoote nilizowahi kwenda, hakuna hata moja nilitoka bila kumtida mhudumu. zote nimevuliwa chupi, nikaona hapa nisijepata magonjwa. baaaaass
 
Back
Top Bottom