MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 332
Salam sana wanajamvi;
kwa namna yeyote ile, tunaweza kuwa na rundo la sifa la binadamu mzuri wa jinsi ya KE, ILA wingi sio TIJA, kwani mke ni msingi wa familia, jamii na Taifa bora kwani yeye ndio engine ya msingi wa yote. Sasa sifa za mke bora ni
a. anayejitambua( yeye ni nani, mazingiraa ya ndani na nje yanayomzunguka na namna ya kukabiliana nayo) katika matokeo chanya na sio kuharibu.
b. Mahusiano- azungumze lipi kwa wakati gani na kwa mtu au kundi gani
c. Abebe dhana na maisha ya leo na matokeo ya kesho katika makuzi na malezi katika kumrithisha mume, watoto na wanfamilia yale yaliyo mema kwa kadri awezavyo.... Usitumie jitihada kubwa sana katika kuyumbisha mahusiano bali kuwa sukari na chumvi ya maisha mema ya leo na ya kesho.
Nawatakia weekend njema.
Pamoja sana