Kikokotoo
Member
- Apr 28, 2017
- 36
- 42
Wakuu Kwema! Leo ningependa niwashirikishe Jambo Moja kuhusu Majina ambayo hawa Viumbe wanaohudumu katika Maeneo ya Moja baridi Moja Moto Hu-save watu wao..Kuna siku nilikaa karibu na Mhudumu mmoja wakati napata Bapa Mahali..Akiwa ametoka akanambia niangalizie Simu yangu..Mara ikawa inaita..Kwakuwa ilikuwa karibu nikaangalia Jina la mpigaji nikaona imeandikwa Coca Zero. .Nikatamani kujua kwanini Ka-Save Jina Hilo akanambia kuwa kama Mtu akimuomba namba na hamjui Jina Basi ataandika Jina lake kwa aina ya Kinywaji anachokunywa Mpaka atakapojua Jina lake Ndio anabadilisha..Mwana Jf Mwenzangu huenda Wamekusave "Mwendokasi"