Jaribu hii...

The Donchop

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
294
378
Nilichogundua, mahusiano mengi yanavunjika kutokana tu na jazba, mihemko au hasira toka kwa wapendanao.

Kwenye kila uhusiano kuna kupendana kama machizi, kuzoeana na mwisho uchokana kabisa.
Hivyo tunaweza sema mapenzi yanazaliwa, yanakua na yanakufa.

Leo napenda kuongelea suala LA kuachana kutokana na expirience yangu. Kwenye mahusiano watu wanaachana sana, wanasemana sana, wanatishiana sana lakini sio ajabu kukuta watu haohao wanarudiana.

Kuachana na kurudiana ni stage mbaya sana kwenye mahusiano. Lakini pia maana take watu hao bado upendo upon kati yao.

Wengine wanagombana kwa simu lakini wakikutana uso kwa uso hasira yote huyeyuka. Hapo nadhani bado kuna upendo baina ya hao watu.

Mara nyingi mapenzi ya kuachana na kurudiana mwisho wake ufa, lakini watu hao wanaweza tena kukutana na kusaliti wenzi wao.

Tatizo kubwa linalosababisha hali hiyo ni USIRI.

Kunakuwa na tatizo baina hao ambapo mmoja anaweza kulifahamu na mwingine halifahamu. Yule anayelifahamu anakuwa hayupo tayari kuliweka wazi. Au pengine wrote wawili inaweza kutokea tatizo na wasilifahamu.

Tatizo katika mapenzi ukua na kuota mizizi. Hapo ndipo watu wanapogombana kila mara. Mwisho wanakubali kupoteza upendo wao kwa jambo ambalo lingewekwa sawa toka mwanzo lisingeleta athari za kuachana kwa maumivu, kejeli na dharau za halo ya juu.

Mara nyingi watu wanaoachana kwa dharau na maneno ya kashfa, hufikia kipindi wanatamani wasingefanya hayo kwa kugundua umuhimu wa mtu wakati akiwa ameshaondoka.
 
True, demu wangu tuliachana na akaniambia nilikuwa simfikishi na wakati tulitoa mimba, nikajiuliza kama nilikuwa simfikishi ina maana hiyo mimba iliingiaje?? Nikaona potelea mbali. Nashangaa saivi ananichekea na kunambia amenimic, na mimi tayari nina mpenzi wangu mpya naenjoy nae.
Kumfikisha kilimani na mimba ni mambo mawili tofauti sana wala hayahusiani.
 
Kw experience yangu inaonyesha mara nying ukiona mnaachana kw kashfa,kejel, kutukanana ujue bado mnapendana..
 
Nilichogundua, mahusiano mengi yanavunjika kutokana tu na jazba, mihemko au hasira toka kwa wapendanao.

Kwenye kila uhusiano kuna kupendana kama machizi, kuzoeana na mwisho uchokana kabisa.
Hivyo tunaweza sema mapenzi yanazaliwa, yanakua na yanakufa.

Leo napenda kuongelea suala LA kuachana kutokana na expirience yangu. Kwenye mahusiano watu wanaachana sana, wanasemana sana, wanatishiana sana lakini sio ajabu kukuta watu haohao wanarudiana.

Kuachana na kurudiana ni stage mbaya sana kwenye mahusiano. Lakini pia maana take watu hao bado upendo upon kati yao.

Wengine wanagombana kwa simu lakini wakikutana uso kwa uso hasira yote huyeyuka. Hapo nadhani bado kuna upendo baina ya hao watu.

Mara nyingi mapenzi ya kuachana na kurudiana mwisho wake ufa, lakini watu hao wanaweza tena kukutana na kusaliti wenzi wao.

Tatizo kubwa linalosababisha hali hiyo ni USIRI.

Kunakuwa na tatizo baina hao ambapo mmoja anaweza kulifahamu na mwingine halifahamu. Yule anayelifahamu anakuwa hayupo tayari kuliweka wazi. Au pengine wrote wawili inaweza kutokea tatizo na wasilifahamu.

Tatizo katika mapenzi ukua na kuota mizizi. Hapo ndipo watu wanapogombana kila mara. Mwisho wanakubali kupoteza upendo wao kwa jambo ambalo lingewekwa sawa toka mwanzo lisingeleta athari za kuachana kwa maumivu, kejeli na dharau za halo ya juu.

Mara nyingi watu wanaoachana kwa dharau na maneno ya kashfa, hufikia kipindi wanatamani wasingefanya hayo kwa kugundua umuhimu wa mtu wakati akiwa ameshaondoka.
Nzuri
 
Back
Top Bottom