255Gene
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 888
- 1,090
Wasalaam,
Naomba nichukue fursa hii adhimu kuongea na nyinyi dada zangu.
Kwanza naomba niwape pole kwa pressure mnazozipata kutoka kwetu zinazowafanya mpaka wengine wafikie maamuzi ya kubadili mionekano yao ya mwili ilimradi kuturidhisha sisi wanaume.
Naomba niwakumbushe tu dada zangu wote wenye mawazo au wale ambao tayari aidha mmejichubua, mmeongeza makalio na wengine kuongeza matiti kwamba haya mambo yanamadhara makubwa kwenu na ni dhambi kwa Mwenyezi Mungu kuukosoa uumbaji wake na pia mnajitaftia cancer za bure huku mnaangaika kuyaridhisha macho yetu watu wanapoteza maisha kizembe kabisa kumbukeni tu hamuwezi kumtosheleza kila mtu haswa wanaume.
Tambueni tu kama mwanaume kakupenda kweli hata angalia ukubwa wa hips, kalio au matiti yako so dada zangu mwache haya mambo.