Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,941
- 24,816
Umri wa mwanamke katika Mahusiano una vipengele vifuatavyo;
1.Akiwa na umri wa kujitambua kuhusu mapenzi mpaka miaka 26 atasema nataka mwanaume mwenye gari, nyumba na kazi nzuri.
2.Akifikia miaka 27 mpaka miaka 30 atasema nataka mwanaume anayejielewa mwenye muonekano huu, awe mfupi au mrefu, mweupe au mweusi, mnene au mwembamba.
3.Akifikia miaka 34 mpaka 40 atasema mimi sichagui mwanaume yeyote atakaejitokeza atanioa.
4.Akifikia miaka 40 na kuendelea waganga wote wa mvuto wa mapenzi atawajua.
Hao ndio wanawake wana hatua nne za ukuaji yaani.Maisha ya utoto, maisha ya ujana, maisha ya Mjini na maisha ya utu uzima. Mwanamke atataka kuolewa na Mtu mwenye gari hata kama kwao hawana hata baiskeli.
Angalizo;"picha haina uhusiano na Mada tajwa hapo juu"