Baby J

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
93,479
119,295
Kuna lijitu nimeliona humu eti na lenyewe linamwita Miss Natafuta 'Baby J'.

Kazi kuiga iga tu swagga za watu.

Hata halijui kwa nini namwita hivyo lakini na lenyewe eti linamwita hivyo.

Stupid monkey see monkey do.

NB: Sorry Baby J....I just had to get it off my chest....now I feel better.

USA baby.....Baby J baby
 
Back
Top Bottom