Kisa elfu 30 kagoma kuja ghetto

Mzee Chapuuka

Member
Apr 21, 2017
97
243
Mada tajwa yahusika
Leo nlikua na miadi na baby wangu yule wa kunipunguza uzito na yeye mwenyewe aliniambi ukitoka Job nishtue
Nlipotoka job nkamwambia natangulia ghetto akasema poa mi najiandaa
Kabla sijafika home msg inaingia ,"Sweet nna shida ya elfu 30 nikopee AF mi ntakurudishia mpnz"
Nkamjibu "mbona ghafla sina Kwa kukopa hela saa hivi katikati ya mwezi" na "mwenyewe hapa nna madeni mengi mno"
Akajibu "hata nusu"
Nkamwambia haiwezekani hali mbaya saa hivi katikati ya mwezi.

Hadi naandika Uzi huu demu simwoni ghetto
Demu wa miaka 21 ni tabu tupu
 
Kama elf.30 inakushinda tena hata kwa kukopa nakushauri achana na mambo ya mademu kwa sasa maana inaonekana hata rafiki mwenye pesa huna. Kijana tafuta pesa kwanza ukiwa financially stable mapenzi utayaona raha
Mida anatuma msg nimetoka kulipa kodi bank yani alichelewa kidogo Sana mkuu,halafu siwezi kuingia madeni kisa mchepuko akizingua atambae zake mkuu
 
Mwenzako kashapanga hapo akanunue skin jeans ya viua, na crop top ,jumamosi wakajirushe na shoga zake
wewe unamwambia habari za kutokua na hela!! kama huwezi kudate watoto nakushauri waache
Hahaha eti ya viua siatafatwa na nyuki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom