enka mbe
Senior Member
- Sep 3, 2016
- 165
- 113
Wakuu hivi inakuwaje demu umemualika kwenda kula chakula pamoja naye kwny hotel alfu anakuja na team( rafik zake au ndugu zake) ya kutosha. kwa wanaume wenzangu ; unafanyaje alfu naww ndio ulitangulia kwny hoteli ukachukua na meza ukawa unamsubiri[emoji19] [emoji19] [emoji19]