Tumepishana na Gari la Mshahara. Meno yanapong'oka halafu Nyama ndo inakuwa chakula Kikuu home

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,651
14,318
Wadau sijui kama na ninyi mmeliona hili. Siku hizi ni rahisi sana Kukamatama mademu. rahisi kweli...ukimnywesha beer mbili tatu tu basi anakuwa wala hana hiyana unaweza beba mzigo ukaenda kula. na siku inayofuata anakutafuta tena ili akanywe supu ya kuku na chapati na akila unaenda tena unakamua hapo unamwachia pesa ya kula mchana.... tena unakuta mtoto mkali sana.

wengi wamerudishwa mtaani kwa sababu mbalimbali likiwepo suala la vyeti feki na Utafiti unasema Asilimia kubwa ywa wanawake wazuri aren't intelligent so wengi walikuwa wanaunganishiwa unganishiwa vyeti na kwa kutumia uzuri wao wanaajiriwa. sasa wamerudishwa mtaani...aisee wanatembea macho juu juu tu ukimsalimia anakuchangamkia kama nini. huku jf,facebook,insta n.k wamejiachia kwa sasa wengi sana wakiona tu nawe si haba wanaomba urafiki.

hata humu JAMIIFORUMS ukiona mdada mzuri ujue akili ...hamna ingawa wengi hawaweki picha zao.Hunyimwi vyote.... uongo? angalia wanawake wenye akili au wasomi. wengi hawana mvuto sana.

Tatizo sasa uchumi nao umebana sana. nikawaza ni kama vile umri unapokuwa umeenda enda hivi halafu bahati mbaya meno mengi yakang'oka ukajikuta umebakiza machache tu. halafu kama zali vile home kila siku ni nyama tu mara ya kuchoma,mara ya kukaanga,mara ya kuokwa,mara ya mchesho ,mara roast...yaani ilimradi balaa. PESA HAMNA MADEMU WAPO WENGI MTAANI NA HAWASUMBUI. ROHO INAUMA SANA. KWA SISI TULIOOA TUNAJIKUTA HASARA INAKUWA KUBWA..UKALIPIE Guest House na wakati huo huo unatakiwa umpatie pesa kidogo ya kurudishia nguvu aliyopoteza.

Aisee..tumepishana na Gari la Mshahara.... inaumiza sana.
 
Back
Top Bottom