Wanaume tubadilike kwa hili

Evvy jr

Senior Member
Apr 23, 2017
148
188
Kuna kitu kinanikera sana, unakuta kijana kaja kwenye jukwaa hili kwa nia nzuri kabisa ya kutafuta mke, mchumba au rafiki wa kike lakin comments za matusi atakazopata toka kwa wanaume wenzie mpaka anakata tamaa. Lkn mwanaume huyohuyo aliyetukana mwanaume mwenzie akiona kuna dada kapost anatafuta mume atacomment kwa maneno mazuri kweli ya kumfariji. Hebu kama huwez kucomment tuliza dole gumba lako!!
 
Back
Top Bottom