Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,451
- 2,190
Wadau me nina shida mpaka ndoa yangu inakosa amani hapa kwenye ofice yangu kna jirani yangu ambae ni kabila moja na wife tnaitana shemeji lkn amekja niletea balaa maana ce mnajua mambo ya vijana damu inachemka afu tpo barabarani watoto wakike wanapita kla muda na kuonyesha ulijari au ubabe wa kijiwe razima uite tuone mwenye makali.me ninachofanya razima wife ajue lkn baada ya kuchunguza nimebaini uyu shemeji feki anamwambia mpaka stori zs uongo.nishauri nimfanyeje maana anachezea maisha yangu