Ni uongo gani uliodanganywa na mpenzi wako mpaka leo hutousahau?

dedon

JF-Expert Member
Jul 6, 2015
1,507
2,063
Kwa mimi hapa nilipata manzi kila nikiomba mechi akawa anasema yeye ni virgin mpaka akiolewa ndo atasex niliteseka mpaka nikakata tamaa,,,siku moja tulitoka manzi akaparamia wine zikamlewesha tukaenda maghetoni ile kuchomeka mashine ikapita mazima dah nilipiga hvo hvo kesho yake manzi nikambana akakubali alikua ananidanganya akaomba msamaha nikamsamehe lakini hatukudumu sana

je ww ni uongo upi hutosahau????
 
nilipigiwa simu nikiwa chuo kwamba mpenzi wangu kaanguka na kazimia madaktari wamesema siju presha na sukari imefanya nini huko.

nikazama mfukoni kutoa pesa kumbe nachangia kitoa mimba ya kidume mwingine ambaye kaikataa mimba hiyo.

nilikuja kuambiwa ukweli na rafiki
images (6).jpg
yake wa karibu ambaye alichoshwa na tabia za alie kuwa mpenzi wangu(mtoa mimba)

KWAKWELI UKITAKA UJUE UGUMU WA KUMTAMBUA MWANAMKE

google tu haya maneno

how to understand a woman pdf.
 
nilipigiwa simu nikiwa chuo kwamba mpenzi wangu kaanguka na kazimia madaktari wamesema siju presha na sukari imefanya nini huko.

nikazama mfukoni kutoa pesa kumbe nachangia kitoa mimba ya kidume mwingine ambaye kaikataa mimba hiyo.

nilikuja kuambiwa ukweli na rafiko yake wa karibu ambaye alichoshwa na tabia za alie kuwa mpenzi wangu(mtoa mimba)

KWAKWELI UKITAKA UJUE UGUMU WA KUMTAMBUA MWANAMKE

google tu haya maneno

how to understand a woman pdf.
dah hio noma sana pole mkuu
 
nilipigiwa simu nikiwa chuo kwamba mpenzi wangu kaanguka na kazimia madaktari wamesema siju presha na sukari imefanya nini huko.

nikazama mfukoni kutoa pesa kumbe nachangia kitoa mimba ya kidume mwingine ambaye kaikataa mimba hiyo.

nilikuja kuambiwa ukweli na rafikiView attachment 510283 yake wa karibu ambaye alichoshwa na tabia za alie kuwa mpenzi wangu(mtoa mimba)

KWAKWELI UKITAKA UJUE UGUMU WA KUMTAMBUA MWANAMKE

google tu haya maneno

how to understand a woman pdf.
Hii ni kawaida sana kwa mabinti
 
Back
Top Bottom