Umewahi kukutana na ukatili maishani mwako?

mis lemich

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
207
176
Habari wakuu ..

natumaini wote hamjambo
Naomba tupeane ushirki wa mawazo na hata experience kwa aliyewahi kukutana na maswaiba ya ukatili ambayo had I Leo hii hawezi kuusahau ... ...... Unaweza kuwa ukatili ulokuathiri : kiakili
:kihisia au kimwili...
 
Back
Top Bottom