Nguvu ya pesa kwenye mahusiano

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
233
Pesa kwenye Biblia takatifu imezungumzwa katika vifungu 2,350 .Pesa ndio humpa mwanadamu heshima,umaarufu na jina zuri.Pesa ni ulinzi na ngao ya kujikinga na mambo mengi ukiwa ungali hai ijapokuwa tunaziacha duniani.

Baadhi ya wanaume wenye pesa huwa hawajui wanawake wazuri na bora ,Najiuliza ni mwanaume gani jasiri anayemtafutia ,Iggy Azalea mwanamke mwenzie kwa uzuri na urembo alio nao Iggy Azalea?

Pesa huficha tabia mbaya, na Ukiona mwanamke amekuacha kwa ajili ya pesa ,basi jua akienda kwa mwanaume mwenye pesa atamuacha kwa ajili ya mapenzi ya dhati.

Na ukiona mwanaume amekuacha wewe mwanamke kwa ajili huna shape nzuri jua akienda kwa mwanamke mwenye shape nzuri atakosa mapenzi ya dhati .Nguvu ya kiume ni pesa na sio viroba wala supu ya Pweza.When money speaks, the truth remains silent.[HASHTAG]#Money[/HASHTAG]
627e16acf916da306746d1657997876a.jpg
 
fanya yoote lkn uckose hela...maisha ya sasa mwanamke wa kuvumilia mumewe hayupo.....futa kabisa kwakua vumilia yake ni manyanyaso kwako kwakua atabaki ndani na kulea familia lkn huduma zote zinatoka mwa mwanaume mwenzio...na atakudharau mno ndani ya nyumba...tafuta hela..weka multiple sources...then tafuta mrembi lkn km unategemea kwmshahara kako ...mambo yakiyumba nawe unalia imekula kwako hio....maisha ya sasa ni pesa kwanza mengine yanafuata...21st century baba
 
umaskini unafanya watu waone pesa ndo kila kitu, humu kuna watu wanapenda pesa sana kiasi cha kwamba wako tayari hata kula mav.i if that results to kupata pesa
 
Pesa ni muhimu sababu ndio means ya kujipatia mahitaji muhimu ili maisha yaweze kua bora.Ila kusema pesa ndo kila kitu sina uhakika
 
Back
Top Bottom