Wafuatao mna kesi za kujibu humu MMU

blackberry m

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
563
414
mwamba c, fleha, & Michaelray22
Kama nilivyokwisha kueleza hapo juu, katika kichwa cha uzi hawa ndugu zetu katika JF jukwaa pendwa la MMU wanayo kesi ya kujibu.
Kesi hiyo inatokana na ukimya wao wa kutoendeleza simulizi zao ambazo wamezianzisha na kisha kutuacha njia panda pasina kujua zitaisha lini.
Simulizi hizo ni kama zifuatavyo;
1. Penzi la Utineja-Michaelray22
2. Ufukwe wa Madagascar-Mwamba C
3. Shemeji Monica-Fleha
Tafadhalini sana, mkae mkifahamu kwamba ujio wenu na kasi yenu ya umaliziaji wa simulizi zenu utasaidia kwa kiasi kikubwa msamaha toka kwetu wana MMU.
 
Ngoma ipo jikoni mkuu.

Nilikuwa nimepitiwa na rungu la vyeti feki ila Kwa sasa nime-recovery.

Soon itakuwa hewani
 
Back
Top Bottom